Timu ambayo ingekuwa na hii front line ingetisha.

Ingedhibitiwa na backline hii:

2. Cafu 4. Mathias Sammer 5. Franco Bares 3.Paolo Maldini

6.Fernando Redondo.


Hapana, beki ya kuidhibiti ni hii

2. David Mwakalebela, 3. Twaha Hamidu 4. Kassongo Athumani 5. Salum Kabunda 6. Issa Athumani
 
mpira hauko hivyo jamani. huwezi imagini hiyo timu yaweza fungwa hata na newcastle
 
7. Luis Figo
9. Ronaldo de Lima
10. Messi
11. Christiano Ronaldo.

Isingekuwa na mafanikio, maana karibu wote walikuwa na mchezo unaofanana. Timu inahitaji mchango wa kila mchezaji - acheze tofauti ili mwingine anufaike na uchezaji wa mwenzake. Umemsikia Vidic juzi? Analalamika kuwa ilikuwa vigumu kuwakaba Barca kwa kuwa hawakucheza na mshambuliaji yeyote.
 
Mnasahau kuwa fahari wawili hawakai zz moja? C ajab wacngefanya kitu! Lakin jamaa wanajua....!
 
Back
Top Bottom