Tigo nimewakosea nini?

tanzania bana! matatizo lukuku, mara umeme mara leo mawasiliano hakuna mtandao wa tigo na taarifa hawatoe but ndio wawekezaji wetu hao!
 
Kama uko akilini mwangu, yani nina dili na mtu ka mil nne, mda tuliopanga kukutana saa nne, kupiga sm hamna kitu, nimehangaika ka mara 49 bila!jamani tigo wateja wamekuwa wengi msiwe kama serikali ya magamba, nyie ni kula bila kujali huduma ikoje kiubora!shauri yenu!mnatuboa!msipoangalia mtakimbiwa!reputation yenu inaharibika taratibu taratibu!!!!!!!!
 
Yaaaaaaaani tigo sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeenzi sana tangu saa nne hakuna network mpaka saa nane , mmeharibu michongo yangu yote yaone hata kuumba radhi hayajui , mnaendesha kampuni hovyo hovyo utazani chama cha ccm, ebo!
 
Back
Top Bottom