Tigo ni wezi; huduma ya extreme package ni usanii...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
I seriously get bored na hawa watu. Ukiwa unatuma msg bila kujiunga extreme, zinakwenda sawa. Soon ukishajiunga, msg zinaanza kugoma na kusumbua. Unaweza mtumia mtu msg leo, ikamfikia kesho yake. Pia internet huwa slow sana ukishajiunga na extreme package. Waache wizi...
 
Back
Top Bottom