TiGO Customer hotline and Voicemail

Two years down the line what is the status quo - evaluation
 
mchina aliyaona haya yote kwa watanzania wapenda vya bura na vya bei rahisi akawaletea simu zake zileee...zenye spika sita na memorycard nne...
 
ukwfli wa mambo TIGO ni wajinga sana yan wote wanaosifia huu mtandao mi nawashangaa sana tena sana,yan nimeamini price inadetermine quality...tigo ni mtandao wa watoto,walevi na majina mengine yote mabaya.
 
Kuhama mtandao sio rahisi kihivyo kwa baadhi ya watu, na hii ni kutokana na "switching costs" kuwa kubwa sana. Binafsi ningekuwa nilishahama TiGo Siku nyingi sana kutokana na hidden costs wanazo kucharge, kukuwekea miziki usiyopenda wala kuichagua, ukikopa wanakulazimisha upige simu zao tu, customer care mbovu isiyopokea simu ya mteja kwa wakati, unavailability of network bila sababu za msingi n.k

sababu zinazonizuia nisifanye maamuzi ya kuhama moja kwa moja na badala yake ninakuwa na line zaidi ya moja ni kama zifuatazo:-
  1. Kubadili namba mara kwa mara kunaleta tafsiri mbaya kwa marafiki, ndugu na jamaa zako wa karibu. Na hasa ukizingatia ukweli wa kwamba kampuni zote za simu nchini mwetu ni za Kitapeli.
  2. Ukibadili namba inakuwia vigumu sana kuwataarifu watu wako wote wa karibu kwamba umeamua kubadili namba, na mara zote mtu anafikiria maswali ambayo ataanza kuulizwa na hawa watu kuhusu sababu zilizosababisha maamuzi ya kubadili namba.
  3. sababu zingine ni pamoja na deal utakazopoteza baada ya kubadili namba, imagine una mchongo wa kazi somewhere...na CV uliyo submit ina namba yako ya TiGo.
Zipo sababu nyingi, ambazo zinawafanya prepaid clients wakubali kuendelea kutapeliwa na hii kampuni ya TiGo.
 
Back
Top Bottom