wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
Huyu mama kwanza alinyamaza baada ya tuhuma za AVALON CINEMA kuelekzwa kwake kuwa ana double standards...baadae akapiga mkwara kuwa angevunja na ile shopping mall jirani na Shoppers plaza
sasa hivi as we speak Coco beach ishauzwa
soma hapa:
MICHUZI: BREKING NYUUUUZZZZZ: COCO BEACH YAVAMIWA , YATAKA KUGEUZWA MAEGESHO YA KULIPIA!
kiko wapi? maamuzi kama haya hayapiti bila huyu mama kupitisha and the buck stops with her!!!