Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mshana jr, you're still good in my books. Be blessed abundantly kwa somo hili.....

Niongezee tu kwenye chumvi ya mawe
- inasaidia mmeng'enyo wa chakula
- inaondoa gesi na kiungulia
-husaidia maumivuu ya miguu kwa kuloweka miguu ndani ya maji ya chumvi kwa dakika kadhaa.
- pia humairisha kinga ya mwili.
- unaweza itumia kama srub ya ngozi
- na pia hujaza nywele kichwani kwa wapendao nywele nyiingi, kwa kuweka kipimo sawa cha chumvi na conditioner changanya kisha paka kwenye nywele, kaa nayo kwa dakika ishirini au nusu saa kisha osha, rudia mara kwa mara kwa matokeo ya haraka.
Hiyo conditioner ndio nn
 
Kwa jina lingine inaitwaje, kama unapicha niwekee, vp unachanganya na maji
IMG_20170813_090240_718.JPG
 
Back
Top Bottom