Three African Presidents In Hell.

Yah kwa giza totoro maisha magumu naona kama kuna jehanum ukifa mungu atuepushe maana tushaanza onja joto ya jiwe apa apa
 
Hahahaaaaa, bwahahahaaaaa! niko na wakwe jamani wataniona kichaa kucheka namna hii! hehehehehehe ahahahahaha!

Hii ni Joke 2 bana, hata ange2mia jina la mtu yeyote yule ni poa! acheni kuchkulia serious kila kitu bana!
 
Naaaaaaah! :) :) I assure you bro that I am not scared, but IMHO it is not appropriate to use Mandela's name in that joke.

Have a great weekend Bro :)
Sawa mkuu wangu, ndio maana nikasema kuwa wewe fikiria kama vile hii joke ni ya miaka 20 mbele, au unaonaje...!? aha ha ha, haya mkuu, siku njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom