Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,024
- Thread starter
- #41
Hahaha... Ndo nnachowapendea wazungu hapo tu ukijifanya jeuri wanakubinya kimyakimya. Mwangalie Duterte sasa hv kimyaaa, kaleta kidomodomo kapelekewa ISIS sasa hv mashauzi yote kwishney. Sasa dogo alikua anasema vikwazo haviumizi sasa povu la nini. Ngoja na mjapan aunge tera.
Naona Japan nao wanataka THAAD huku South korea wakitaka THAAD nyingine pia ziongezwe. Hili picha naona linaelekea kuisha soooon.
Whaaat!, Mjapan nae anataka THAAD?
Tehe!, Teh!, hii Shughuli inakaribia kuiva hii..
Haha, siamini Durtete mashauzi kwishney.
Hawa watu inabidi kwenda nao kwa akili, ama sivyo wanakumaliza kweupee!
Dogo kwa upande mwingine anakingwa na cousins wake wa South na Japan.
Isingekuwa hivyo labda tungekuwa tunaongea mengine saa hii...
Cc Rais wa team kiduku fundi25
Na team Kiduku kwa ujumla.