Thousands of fake CCM cards printed

Habari yote imekaa kufikilika tu, CCM haina lengo hilo na kamwe haitaweza kuwa na lengo kama hilo.

Hii haina maana kama hakuna baadhi ya Wanachama wake wenye mawazo kama hayo ya kutetea ufisadi at any cost, but at the end of day wataumbuka tu.

(font hizo kaka)

Unagombea Udiwani au Ubunge?. Labla uniambie kuwa na wewe una Insider information ambazo najua wana-CCM wengi hawana zaidi ya kundi la watu wachache sana wanaojiita KING MAKERS.
 
Ahsante Mkuu Kibunango, kama Watetezi wa Ufisadi ndani ya CCM wataumbuka basi itakuwa ni furaha kwa mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi ambao wanaona CCM imetekwa nyara na mafisadi ambao wamekuwa na nguvu ya kutisha ndani ya chama hicho. Tusubiri tuone kama kweli Watetezi wa ufisadi ndani ya CCM wataumbuliwa.

naomba hiyo siku ifike jamani
 
Back
Top Bottom