Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Views 3077 Replies 172

Walioiona hii thread Ni 3077 lakini waliojibu Ni 172! Kuna Jambo hapa nadhani CDM wengi wamezimia wako Kwenye ambulance wanakimbizwa Hospitali. Mwingine Karibu Maneno Mawili tu. "I doubt" naye kaishia. Mtaishia wengi siku mtakayosikia dr. Bunduki naye kaanza.
..mtoto anapokojolea msahafu, hekima ni kumpuuza tu.
 
Kwanza mimi sina chama,pili hao unaowaita mafisadi wa Moshi(madiwani),wamefanya ufisadi gani?Yani ndo mfano uliokuja nao huu?Na umesema unayo mifano mingi,nikakwambia taja mmoja,adn this is all you got?Sasa unafahamu matatizo uliyonayo wewe?

Despite your insistance kutoa mifano ya kifisadi na ukosefu wa utwala bora ndani ya CDM, nisingependa kuingia katika sakata la lack of morals za Katibu Mkuu wenu na jinsi familia hiyo inavyo benefit katika ruzuku na finances za CDM.

Mwenyekiti wa CDM is no better off, kwa kufanya biashara ya kukodisha/ kuuzia mali zake CDM ili kunufaika na transactions hizo.

Mkuu you know the details and dont beat round the bush, bottom line ni kwamba akitokea mtu kuonyesha madhambu/mapungufu ya CDM anapakwa matope utafikiri shetani.

Mzee Nyimbo mlimpokea wenyewe , leo kaonyesha uozo wa CDM basi anasmbiwa ni mzee wa kupenda vyeo, haambiliki n.k.

CDM will remain to be a party owned by business figures and fr business ends.
 
Huyo Thomas Nyimbo alihama CCM 2010, less than 3 years later anahama chama kingine! Bora aungane na Dovutwa.
 
Alichosema leo Mzee Nyimbo amekuwa akisema kila siku. Niliwahi kuongea naye hapo Livingstone kwenye hotel yake kwa takribani saa 3 na kila alisisitiza jinsi Makao makuu walivyokuwa slow kwenye kumuunga mkono ikiwa ni pamoja na kumnyima kadi za kugawa kwa wanachama. Anasema kuna siku aliomba Kadi 5000 lakini alizungungushwa mpaka alipopiga simu kwa Mbowe.
Binafsi namtakia kila la heri kwenye siasa za kutokuwa na Chama, sina sababu yoyote ya kusema vibaya kuhusu uamuzi huu wa Mzee Nyimbo
 
Despite your insistance kutoa mifano ya kifisadi na ukosefu wa utwala bora ndani ya CDM, nisingependa kuingia katika sakata la lack of morals za Katibu Mkuu wenu na jinsi familia hiyo inavyo benefit katika ruzuku na finances za CDM.

Mwenyekiti wa CDM is no better off, kwa kufanya biashara ya kukodisha/ kuuzia mali zake CDM ili kunufaika na transactions hizo.

Mkuu you know the details and dont beat round the bush, bottom line ni kwamba akitokea mtu kuonyesha madhambu/mapungufu ya CDM anapakwa matope utafikiri shetani.

Mzee Nyimbo mlimpokea wenyewe , leo kaonyesha uozo wa CDM basi anasmbiwa ni mzee wa kupenda vyeo, haambiliki n.k.

CDM will remain to be a party owned by business figures and fr business ends.
Unaposema "Mmempokea Nyimbo" una maana gani?Ama una hamu ya kuongea na viongozi wa chadema na sasa unadhani mimi ni mmojawapo?Ama husomi unachokijibu?

Pia kwasababu umefurahishwa sana na Nyimbo,unaweza kusema umangi meza aliouzungumzia ndiyo wewe unautafsiri hapa?Ama ulikuwa na mambo yako na umepata thread ya kuyatapika?Unamwekea maneno mdomoni,unamsaidia kutafsiri,ama ni wewe mwenyewe unaendeleza nyimbo zako?
 
Mama D. Pole kwa mshituko. Bora wewe umeandika Maneno Mengi kidogo maana mwingine kaishia I doubt na kaishia Sasa sijui kazimia Au la.

mshtuko uko wapi weweeeee
kibaya chajitembeza hichooooo
 
Unaposema "Mmempokea Nyimbo" una maana gani?Ama una hamu ya kuongea na viongozi wa chadema na sasa unadhani mimi ni mmojawapo?Ama husomi unachokijibu?

Pia kwasababu umefurahishwa sana na Nyimbo,unaweza kusema umangi meza aliouzungumzia ndiyo wewe unautafsiri hapa?Ama ulikuwa na mambo yako na umepata thread ya kuyatapika?Unamwekea maneno mdomoni,unamsaidia kutafsiri,ama ni wewe mwenyewe unaendeleza nyimbo zako?
You know very well what I am talking about.
As a amater of fact kila ukibanwa on matters of principles unakimbilia peripherals na kudai mifano.
Mifano umeipata na mingine si mizuri sana, but that is not the point.

The point is CDM is no better off as compared to CCM kwa viongozi kingiza ubinafsi.
Ingalau CCM wana blue print ya siasa zake iliyowekwa na Mwalimu, ingawaje hazifuatwi.
No point trusting an unproved horse galloping into the unknown for a lame known donkey.

Kwa kukosa sera zinazoeleweka, then here we come- agitation!
Agitation for what?
Only God knows!
 
Magamba wanatishia biashara zake nini...refer former PM...ukitaka biashara zako zifanikiwe! ... hamia ccm! kaona hilo ndo maana kwa kutopenda magamba kaamua kuwa neutral tu. asihofu CDM ikiingia haya yote yataisha atafanya kazi zake kwa uhuru!
 
Nadhani tuna karne nzima ya kuyumbishana hii nchi mpaka kufikia mabadiliko tunayoyaota.....

Kama wazee kama wakina Nyimbo wanasusa, jiulize nini kinatokea kwa vijana!!

Inasikitisha sana,

Mzee wangu Nyimbo, kulikuwa na njia nzuri zaidi ya hii.
 
Nachukua fursa hii kukupongeza Ndg.Thomas Nyimbo kwa kutupatia UKWELI juu ya misingi ya CHADEMA na kutoa ushauri kwa CCM waache UFISADI ili VIJANA wasikimbilie CHADEMA kwani CHADEMA ni sawa na KIKOMBE cha BABU wa LOLIONDO,hakuna dhamira ya kuwakomboa WATANZANIA.Jiulizeni watu wa UBONGO,KAWE,Mbey Mjini,Nyamagana nk..hawana mabadiliko yoyote zaidi ya WABUNGE wao kuzunguka nchini kama WATALII ati wana hamasisha M4C...hili ni tusi kubwa kwa wananchi ambao waliwachagua ili muwaletee maendeleo na sio kutalii nchini na kuleta MAAFA yasiyo na lazima...CHADEMA ni sawa na UAMUSHO kwa TANZANIA BARA....Kazi kwenu JESHI LA POLISI !..pia kuna MCHAKAMCHAKA wa CUF pia ni uhuni wa kuvuruga amani yetu.Watu tufanye kazi kwa bidii huwezi kosa riziki yako ukijituma.

AMANI kwanza SIASA baadaye......
 
Tangu lini kunguru akafugika. Misaka vyeo ina tabu kweli. Na mimi bado nawaambia CHADEMA wawe macho sana na hawa wanaotoka CCM kuja CHADEMA. Wasiwasi wangu ni kuwa wengi wanakuja kwa kazi maalum
 
Back
Top Bottom