Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
So, ni kweli kuna umangimeza hapo CDM?With all due respect,ulichoandika siyo utofauti bali ni ujinga so to speak...
So, ni kweli kuna umangimeza hapo CDM?With all due respect,ulichoandika siyo utofauti bali ni ujinga so to speak...
Huyo mtu alikuwa mbunge kupitia ccm toka 2000 hadi 2010,kagombea ubunge kwa chadema mwaka huo huo akaukosa.In less than two years amejitoa,kaja na hayo ya umangi meza.So, ni kweli kuna umangimeza hapo CDM?
Huyu ni mtaka vyeo. Amepiga darubini akaona kuwa hata ramani za 2015 hazisomi, akaamua kukubali yaishe.
Kwa umri wake hawezi kuiweza kasi ya vijana.
Amefanya uamuzi mzuri mapemaa kabla ya aibu za ukubwani.
Mzee Nyimbo has called a spade a spade.Huyo mtu alikuwa ccm hadi 2010,kagombea ubunge kwa chadema mwaka huo huo akaukosa.In less than two years amajitoa,kaja na hayo ya umangi meza.
Mimi sijui kama ni kweli,lakini kwa mawazo yangu,hana credibility ya kusema hivyo.Anaonekana ni mtu asiyeweza kufanya kazi na wenzake.
Kwani wewe hayo maneno uliyoyasema(ukanda na ukabila), ni ya ukweli kwasababu wewe umeyasema?Same applies to him.
Kutokana na tuhuma alizotoa ni kwamba Mh Mbowe na Dr. Slaa wanajinufaisha wao binafsi
Je ni kweli kwamba Mbowe na Slaa wanajinufaisha wao binafsi?
Je ni kweli kwamba hawa viongozi wa juu hawashauriki?
Kujivua uanachama ni haki yake lakini angetoa na ushahidi kuthibisha haya aliyosema,vinginevyo tutamuona ni mtu anesumbuliwa na njaa tu.
Najaribu kukusanya yale yote yanayosemwa na baadhi ya wananchi ambao wamejitoa katika CDM. Hizi zinaweza kuwa kasoro za CDM ama ni kelele tu za hao waliojitoa. Kwani lisemwalo lipo na kama halipo laja.Kwani wewe hayo maneno uliyoyasema(ukanda na ukabila), ni ya ukweli kwasababu wewe umeyasema?Same applies to him.
Nani anajuwa kwamba wewe siyo Nyimbo?Na angepata ubunge kwa kupitia chadema angejitoa?Si alikuwa mbunge kwa kupitia ccm kwa miaka 10?Hana lolote huyo,makosa ni ya chadema kusifia watu hovyo hovyo na kukaribisha makapi bila kuyapima,eti mlezi.Vitu vingine bana!Mzee Nyimbo has called a spade a spade.
Hayo aliyosema juu ya CHADEMA mimi nimeyasema mara kadhaa humu jamvini.
Taabu ya wanachama wa CDM ni kuiona siasa katika miwani ya CDM na kutotambua makosa makubwa yanayofanywa na CDM.
Chuki dhidi ya CCM, ambayo imeamua kufa yenyewe ,haiiletei nchi manufaa yoyote kama CDM haina vision ya kule tuendako.
I have said this again and again, asante Mzee Nyimbo umenotice makosa ya kimsingi from inside CHADEMA.
naona wengi hammjui huyu mzee,nimefanya naye shughuli za chama muda mrefu sana toka awepo cdm ni moja ya wazee wanaopenda kuabudiwa kama mfalme ,anapenda hadi viongozi wa cdm wa taifa wafuate aina ya siasa zake,kwa kifupi ni hivi.wiki iliyopita mh.mbowe(m/kiti)alikuwa na ziara ya kuwanadi wagombea udiwani kupitia cdm ktk mikoa ya mbeya na njombe,alipotoka iringa alipitiliza kwenda mbeya bila kupitia kwake ,hapo ndo povu lilipoanza kumtoka mzee nyimbo kuwa viongozi wa kitaifa hawa mheshimu ,alipiga simu kwa dr,slaa kulalamika juu ya hili lkn dr.slaa alimjibu kuwa kwenye ratiba hakukuwa na ratiba ya m/kiti kupitia kila jimbo na muda ulikuwa mdogo sana na sehemu za kupitia zilikuwa nyingi sana.mzee nyimbo akawa analalamika sana juu ya kutopitiwa nyumbani ili aongozane naye huko mby na makete then ludewa .kama humjui unaweza ukasema jamaa ni jembe sana lkn kiukweli kwa aina ya siasa za sasa huyu mzee haziwezi kabisa na ni mbabe anayetaka analosema yeye ndo la kufuatwa hata kama linamakosa .kila lakheri kuko aendako sisi alitukuta tukipigania kukijenga chama chetu ametuacha bado tunasonga mbele,tunatangulia ktk mapambano huyu mzee atatukuta mbele tukiwa tayari yunafaidi matunda ya nchi yetu
Yeye ndiye anayetakiwa kulitolea ufafanuzi kama anaweza.Kama hakutaka kuwa mlezi,maybe alitaka kuwa katibu ama mwenyekiti?Jiulize,ni nini alikitaka ndani ya chadema?Ni nini kilimfanya akahamia chadema?Kama alikuwa anaamini mtu kwanza,chama baadaye,nini kilimfanya akahamia chadema?Ni mnafiki tu,tatizo liko kwa chadema kuwakaribisha wanafiki kwa sababu wanazozijuwa wao.Chama wanatakiwa wakijenge kuna wananchi wengi tu wenye uwezo ambao hawakuwahi kuwa kwenye chama chochote cha kisiasa,sasa huyo aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya ccm for 10 years,leo ndiyo amegundua mtu kwanza chama baadaye?Alisema aliyaamini hayo toka kitambo,sasa alienda chadema for what?Unaelewa maana ya umangi meza?Huyu anayeamini mtu kwanza chama baadaye,angepata uongozi wa chama angefanya nini?Najaribu kukusanya yale yote yanayosemwa na baadhi ya wananchi ambao wamejitoa katika CDM. Hizi zinaweza kuwa kasoro za CDM ama ni kelele tu za hao waliojitoa. Kwani lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Ukanda na ukabila katika CDM umekanushwa kwa vielelezo na takwimu, na nategemea hili jipya la umangimeza kutolewa ufafanuzi vilevile.
Nani anajuwa kwamba wewe siyo Nyimbo?Na angepata ubunge kwa kupitia chadema angejitoa?Si alikuwa mbungu kwa kupitia ccm kwa miaka 10?Hana lolote huyo,makosa ni ya chadema kusifia watu hovyo hovyo na kukaribisha makapi bila kuayapima,eti mlezi.Vitu vingine bana!
Mrudisheni CCM Awe mwenyekiti wa Taifa UVCCM
Ni Kweli alikuwa anasifiwa na hata kazi alizokuwa anazifanya kwa kweli zilikuwa nzuri. Kama ni kweli nadhani sio habari njema.
Vema tujue kama ni kweli maana mpaka sasa ni tetesi. Tujue kajitoa kwa sababu gani na anakwenda wapi.
Ni vizuri pia kama tutajizuia kuwa wepesi kuwaona watu tuliokuwa nao hawafai pale wanapoondoka. Anaweza kustaafu siasa jumla, then what a shame will we get by berate him?
tweve, japo nakubaliana na wewe kuhusu ubabe wa huyu mzee, and I know him very well katika suala zima la kujiona yeye yupo juu ya kila mtu, nadhani kwa wakati huu ambao tunahitaji sana kukijenga chama kule kusini huyu mzee alikuwa bado anahitajika sana.naona wengi hammjui huyu mzee,nimefanya naye shughuli za chama muda mrefu sana toka awepo cdm ni moja ya wazee wanaopenda kuabudiwa kama mfalme ,anapenda hadi viongozi wa cdm wa taifa wafuate aina ya siasa zake,kwa kifupi ni hivi.wiki iliyopita mh.mbowe(m/kiti)alikuwa na ziara ya kuwanadi wagombea udiwani kupitia cdm ktk mikoa ya mbeya na njombe,alipotoka iringa alipitiliza kwenda mbeya bila kupitia kwake ,hapo ndo povu lilipoanza kumtoka mzee nyimbo kuwa viongozi wa kitaifa hawa mheshimu ,alipiga simu kwa dr,slaa kulalamika juu ya hili lkn dr.slaa alimjibu kuwa kwenye ratiba hakukuwa na ratiba ya m/kiti kupitia kila jimbo na muda ulikuwa mdogo sana na sehemu za kupitia zilikuwa nyingi sana.mzee nyimbo akawa analalamika sana juu ya kutopitiwa nyumbani ili aongozane naye huko mby na makete then ludewa .kama humjui unaweza ukasema jamaa ni jembe sana lkn kiukweli kwa aina ya siasa za sasa huyu mzee haziwezi kabisa na ni mbabe anayetaka analosema yeye ndo la kufuatwa hata kama linamakosa .kila lakheri kuko aendako sisi alitukuta tukipigania kukijenga chama chetu ametuacha bado tunasonga mbele,tunatangulia ktk mapambano huyu mzee atatukuta mbele tukiwa tayari yunafaidi matunda ya nchi yetu
Ndipo hapo huwa ninashangazwa,mtu amehamia chadema tu eti anakuwa mlezi.Ulezi anapewa anayeaminika,ukiniuliza ni nini kilimfanya aaminike hivyo sikijui,tena mtu aliyekampeni kwa kusema "mtu kwanza chama baadaye."?Ni kweli mkuu.Hii kukumbatia majitu yaliyotemwa CCM soon itakuwa janga ndani ya chama.Inafika mahali hata makapi na matakataka yanapewa Ulezi.My foot! Wapo vijana wengi wanaifia CDM bila hata kutambuliwa.
Ndipo hapo huwa ninashangazwa,mtu amehamia chadema tu eti anakuwa mlezi.Ulezi anapewa anayeaminika,ukiniuliza ni nini kilimfanya aaminike hivyo sikijui,tena mtu aliyekampeni kwa kusema "mtu kwanza chama baadaye."?
Unless maana ya ulezi ni tofauti kwa chadema.Kuna namna chadema ni wababaikiaji wa majina.