Wakuu heshima kwenu nyote!
Nnamiliki gari aina ya chaser raffine; tatizo unapoliwasha huwa linawaka kama kawaida, ILA nnapotembea kama kilometer 10 au zaidi hivi na kulipaki, haliwaki tena angali taa za kwenye dashboard zinawaka! Then ukikaa baada muda mostly i guess baada ya engine kuonekana kama imepoa inawaka!!! Nmepeleka kwa fundi akafungua starter na kuirekebisha ila tatizo bado lipo palepale!!! Wakuu nijuzeni what will be the permanent solution, I'm realy tired of this....!!! Shukran kwenu wakuu.