The world's only immortal animal

Onyesha uwongo uko wapi.Twende toe to toe hapa.

Rather inversely, wewe ndio uoneshe ukweli wako kwamba turritopsis nutricula ana-demonstrate theory of evolution.

Haya twende toe-to-toe sasa kama unavotaka..i'm all ears.
 
Ndo mara ya kwanza nasikia kitu kama hiki. Kila siku tunajifunza kitu kipya.
 
Economist won't like the success of this.

I do not understand as to the reason you advance for economists not to like this success. I believe the economists will like this success because if people do not die it means an increase in the pouplation and an increase in the number of people means a bigger market for commodites and hence more tax-revenue!! They will love this!!
 
Rather inversely, wewe ndio uoneshe ukweli wako kwamba turritopsis nutricula ana-demonstrate theory of evolution.

Haya twende toe-to-toe sasa kama unavotaka..i'm all ears.

Usitake kubishana na established science wewe, what's next? Utataka kusema the earth is flat?

Hebu ona hapa mtu kaandika paper kuhusu ma gene activation na evolution

http://www.icm.csic.es/scimar/pdf/56/sm56n2137.pdf

Wataalam hapa wanakwambia hii ni sawa na "inverted metarmophosis" in the form of "cellular modification"

http://www.sciencedirect.com/scienc...serid=10&md5=f886586467cba4b734f2f4abe983bfa8

Kukataa evolution ni kukataa the obvious, do you even believe the earth is not flat? I would be surprised.
 
I bet the cosmetics industry will quickly lap up this new discovery.

Drug stores and supermarket shelves are lined with countless anti-aging products, this will be sure to make a hit

tusifike huko. Tunaishi vizuri kwa vile wengine wanakufa. Nani anayejua utamu/uchungu wa maisha baada ya kifo
 
Usitake kubishana na established science wewe, what's next? Utataka kusema the earth is flat?
Needling, which is the signature of your stupid self.
Hebu ona hapa mtu kaandika paper kuhusu ma gene activation na evolution

http://www.icm.csic.es/scimar/pdf/56/sm56n2137.pdf

Pepa inaelezea bi-directionality conversion ya polyps na medusae, na particularly transformation ya medusae into polypoid structures. Na consequences zake (evolutionary and ecologically)..Sasa sielewi hii inaezaje kuwa jibu ya swali langu.

Wataalam hapa wanakwambia hii ni sawa na "inverted metarmophosis" in the form of "cellular modification"

http://www.sciencedirect.com/scienc...serid=10&md5=f886586467cba4b734f2f4abe983bfa8

Interesting..

It is beyond my knowledge kwamba hiyo inaezaje kuchukuliwa kama 100% evolution. Sounds partial to me, kwamba kuna new 'species' kutegemea na mazingira fulani, lakini sio entirely degeneration ya specie.

Kukataa evolution ni kukataa the obvious, do you even believe the earth is not flat? I would be surprised.

Needling, which is the signature of your stupid self.

Hivi ni wapi nimesema napinga evolution? Ni maajabu kwamba unasema napinga evolution. Nadhani una matatizo ya hallucination.

Remember this.
You bet, the very resilient and self rejuvenating nature of this creature is a signature of evolution. Every living thing evolves.
Ningependa pia unioneshe kwa utuo, hii conclusion kwamba kila living things undergo evolution (Refer post yako #8 hapo juu)
 
Back
Top Bottom