The Working Class, Savages in Suits

Hahahaaaaaaaaaaa! Chezea wewe joka lenye jicho mojaa, kesho saa 5 asubuhiii.
Tena lisilo na sumu unapokea mautamu tu........ Hahaa pumzika mama, its time to rest your body and mind baby!!!
 
@ISO M.CodD nimeweka dear,najua we mzungu nilivosema kesho saa 5 utapitwa

Nipo, actually hii ndio mida ya kuwa kwenye geekdom, we work during nights.

Sema lara, unajua moja haikai mbili haikai, cliffhanger za namna hii tabu tupu. Please let Ronnie be like the 'nerd' apate his way pertaining to the BJ.

Btw, the twist with Joyce's HIV status: lovely!
 
duuh imeishia pale alipokuwa anakataa kataa kutuma salam...., rahisi kukumbuka
 
Lara u know how to make a hit. Daaah

Lindaaaa anabweteka tu kama godoro hata hana juhudi kama za Anny. Haya chacha kazi ya mic ataiweza.

Mwee saa 5 kesho mbona mbali sana
 
Back
Top Bottom