The Wagalla Massacre: RIP na poleni ndugu zetu mlioathirika

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Nimekutana na hii ishu nilipokua nacheki kumbukumbu flani za historia ya Kenya. Ni story inayouuma sana kuona unyama ukitendewa wananchi na serikali teule.

Kwa kweli Moi alikua muuaji namba moja na wale wasiomjua wangedhani ni mtu safi.

Tazama video kwa ufafanuzi zaidi:


watch
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom