The Telegraph: Tanzania upsets African Barrick Gold investors

Now, I close my fingers to see how the government is going to enforce this new law. And listening to Ngeleja in Arusha during the mining and energy meeting earlier this week, he sounded optimistic that the companies have already agreed on the move, kumbe wapi
please dont close your fingers, just cross them!!
 
1. Nationalize Bulyanhulu (610m$) and Buzwagi (372m$).
Since Hu Juntao can loan us 1bn$ for Mtwara - Dar pipeline, let's work with the Chinese govrnment on how to run these two mines after giving us a soft loan.
May be we can go 80/20....
2. Invest in STAMICO and NDC, heavily.
3. Stop issuing mining lincences, till we come up with a sensible mining policy/act.
watamgaddafi jamaa
 
One day Tanzanians will own Mining Industry under the rule of Law where equal share of win win situation will not be an option but a genuine business agreement.
 
Kampuni yakuchimba dhahabu, almasi au madini yoyote yasioweza kuchimba kwa royalties tunazotaka, waondoke,tena faster tu!

Tumechoka na migawo ya 10%, matatizo kem kem nchini, wao wanang'ang'ania 1% tu!

Wazungu noma kweli! Natumaini wakuu mmeona wenyewe!
 
After all this time yaani wamekuja na 4 % tu???

Hiyo mining law badala ya kung'ang'ania ako ka 4 % wangehangaikia share ya atleast 30 % pamoja na coorparate tax!! Nchi kama Botswana, Namibia na RSA wao wanapata mgao kwenye share, tax pamoja na loyallity ya 3 to 5 %.

Sisi Mabwege tunaishia na loyallities tu!!

Kuna haja ya kuelewa vizuri suala la royalty. Wastani wa dunia nzima royalty ni 3-6%. Kanuni ya ukokotoaji ndio inatupa pesa zaidi na sisi tuliamua royalty iwe katakana na gross value badala ya netback value. Botswana wao kwenye almasi wana hisa lakini hakuna corporate tax kabisa (exempted). Sisi tuna corporate tax ambayo ilichelewa sana kuanza kulipwa katakana na sheria ya kipuuzi kabisa tuliyotunga mwaka 1997 '15% unredeemed capitalnexpenditure' ambayo haiponpopote duniani.

Geita, Resolute sasa wanalipa corporate tax. ABG hawataki kabisa kuhamia sheria mpya ambayo ingesaidia sana nchi yetu na hata wao wenyewe kutokuwa wasiwasi.

Sheria mpya inataka serikali iwe na hisa na hata makampuni ku list DSE. Haya makampuni lazima tuyalazimishe ku migrate into new legislation. Hakuna alternative
 
kuna ka wimbo kanaimbwa nowadays kuwa nchi haiwezi kuendelea bila uwekezaji! mimi simo, shauri yenu.
 
Kuna haja ya kuelewa vizuri suala la royalty. Wastani wa dunia nzima royalty ni 3-6%. Kanuni ya ukokotoaji ndio inatupa pesa zaidi na sisi tuliamua royalty iwe katakana na gross value badala ya netback value. Botswana wao kwenye almasi wana hisa lakini hakuna corporate tax kabisa (exempted). Sisi tuna corporate tax ambayo ilichelewa sana kuanza kulipwa katakana na sheria ya kipuuzi kabisa tuliyotunga mwaka 1997 '15% unredeemed capitalnexpenditure' ambayo haiponpopote duniani.

Geita, Resolute sasa wanalipa corporate tax. ABG hawataki kabisa kuhamia sheria mpya ambayo ingesaidia sana nchi yetu na hata wao wenyewe kutokuwa wasiwasi.

Sheria mpya inataka serikali iwe na hisa na hata makampuni ku list DSE. Haya makampuni lazima tuyalazimishe ku migrate into new legislation. Hakuna alternative
Tutaifishe.
Ni afadhali tuwarithishe wajukuu zetu ardhi yenye madini badala ya ardhi yenye madeni.
 
Kuna haja ya kuelewa vizuri suala la royalty. Wastani wa dunia nzima royalty ni 3-6%. Kanuni ya ukokotoaji ndio inatupa pesa zaidi na sisi tuliamua royalty iwe katakana na gross value badala ya netback value. Botswana wao kwenye almasi wana hisa lakini hakuna corporate tax kabisa (exempted). Sisi tuna corporate tax ambayo ilichelewa sana kuanza kulipwa katakana na sheria ya kipuuzi kabisa tuliyotunga mwaka 1997 '15% unredeemed capitalnexpenditure' ambayo haiponpopote duniani.

Geita, Resolute sasa wanalipa corporate tax. ABG hawataki kabisa kuhamia sheria mpya ambayo ingesaidia sana nchi yetu na hata wao wenyewe kutokuwa wasiwasi.

Sheria mpya inataka serikali iwe na hisa na hata makampuni ku list DSE. Haya makampuni lazima tuyalazimishe ku migrate into new legislation. Hakuna alternative

zitto, tupo huru, kwa hiyo tuna uhuru wa ku-set standard zetu kwenye mali zetu, ili wengine watutolee mfano kama tunaoutoa kwa angola n.k hamkusoma uchumi ili mshangae, chukueni hatua wazalendo.
 
Back
Top Bottom