The Tale of two pictures: Whats wrong?

unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!
 
I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!

Alikuwa nazo, kama hii:

michu15bc.jpg
 
You are wrong about Nyerere. Nyerere was so charismatic and loved by the people that he managed to sell a corrupt guy as Mr Clean and people agreed with him and elected him president kwa Ushindi wa Kishindo. You know why because they loved and believed in Nyerere so much.

That is what I, Baba_Enock, call DICTATORSHIP!
 
Haki ya Mungu JF mnatafuta uchokozi!! Kuna hatari ya mambo yaleee ya Jambo forums!

Ila hii ni safi, natumaini kuna mtu wake wa karibu anapita pita humu afikishe ujumbe, si huu tu
 
unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!

Wanaprotocal,

Hawamwambii sorry hawamwadalii RATIBA - Mawasiliano ndani ya IKULU ni ZERO! Inawezekana aliambiwa anaenda kuzindua kampeni ya upandaji Miti shule ya msingi mwongozo na atakalofanya ni kutoa hotuba kisha kutimka na kuelekea uwanja wa ndege!

Yeye kufika pale, kwa sababu ya kupendwa na watu akabadilisha na kuamua kupanda mti!
 
Jamani tumuonee huruma afya yake haimruhusu kufanya kazi ngumu kama kupanda mti huku ameinama inabidi apige magoti..!
 
kikwetepics.jpg


somewhere in Tanzania; president of the republic

nyerere_phixr.jpg


somewhere in Tanzania; President of the Republic..

what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to have been a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.

Nimezipenda, zimenikumbusha mhubiri wangu mmoja aliyenihubiria kuwa nifuate kama anavyoeleza na wala sio anavyotenda! Kumbe nikienda otesha miti kwa stahili hii nitaotesha 200 kwa siku!
 
heheee jamani tangu lini mzaramo nae akawa mkulima?? huyu mpe kibwaya mchiriku, vanga n.k. sio jembe na matope/udongo! hizo ni tofauti kati ya mtu na mtu nyerere alikuwa mkulima, alikuwa anajaribu kujishusha ili wananchi tuige mfano wake kuwa hata kama rais wa nchi anaweza kukanda tofali kwa miguu, kuchezea udongo akipanda miti au kupalilia shamba sembuse mimi mwananchi wa kawaida, na hii ilikuwa inaleta impact kweli watu walikuwa wakijituma kwa bidii, lakini ck hizi angalia ktk kila sherehe lazima kuwa na kofia, tishirts vitenge, mwavuli, mikeka yenye lebo ya sherehe, nakumbuka siku ya uzinduzi wa kampeni ya malaria nilibaki kinywa wazi, rais amehudhuria uzinduzi uliogharimu mamilioni ya pesa je pesa hizo isingekuwa busara kuzinunua angalau vyandarua au dawa za kupuliza mazalia ya mbu kwenye maeneo mbalimbali!!!!! sumtimes when I see those things, i remain speechless!
 
unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!
Kwenye picha hizo tofauti kubwa ni kuwa Nyerere anaonekana active, afya nzuri, very composed body, na mtu mwenye uhodari wa kazi. Ona alivyochuchumaa, kikakamavu.

Kikwete: Labda umri, ila alivyowekewa mkeka siyo kuwa anaogopa kuchafuka, hawezi kuchuchumaa. Hawezi ku-support weight yake akichuchumaa. Ni kweli hana Nguvu, labda ndiyo umri tena. Nafikiri afya yake siyo nzuri.

Labda picha ile ya Nyerere ilichukuliwa alivyokuwa kijana na ya Kikwete imechukulia wakati huu anavyozeeke.
 
That is what I, Baba_Enock, call DICTATORSHIP!

I used to have the same line of thinking before but that has changed ever since I got enlightened.

CHARISMA is, according to Oxford Advanced Learners Dictionary, defined as "the powerful personal quality that some people have to attract and impress other people"

DICTATORSHIP, on the other hand, is defined in the same dictionary as " government by a dictator or a country that is ruled by a dictator. A dictator on the other hand is defined as "a ruler who has complete power over a country, especially one who has gained it using military force".

Therefore DICTATORSHIP AND CHARISMA are two different things.

When Nyerere sold Mr. Clean to Tanzanians he had been out of power for some time and was neither President nor a party Chairman. And just for record, Nyerere never gained leadership using military force.

But using his CHARISMA he managed to convince voters that Mr. Clean was the right candidate.
 
Duh! He was special

halafu Kikwete si mwanajeshi huyu?
Mwanajeshi wa nini sasa? Kujenga au kwenye agenda zingine zingine za kijeshi maana Nyerere alikuwa anabeba mawe mazito utafikiri alikuwa sio muheshimiwa.
 
two completely different people....
Nyerere was a Leader and had vision, we must also agree that he had his problems but he knew where he wanted take the country to....nor this Charismatic, outgoing president we have now....he lacks vision and he doesnt have leadership quality.....No ONE can ever say or mention the good things he ever done or decision he ever made?

Kikwete inabidi ifike hatua aache usanii, awe mtendaji kidogo....lazima ajue kwenye uongozi hutakiwi kujenga sifa... bali maendeleo.
 
Tangu lini wakwere wakalima na kupanda miti..you know what wanajua kuimba na kucheza ngoma...mwambie awaimbie nyimbo zote za TOT anafahamu.

Nyerere na watu wa musoma ni wakulima na wafugaji lazima wawe tofauti sana...

Nimependa hizi picha imeonyesha tofauti kubwa sana kiutendaji
 
Tangu lini wakwere wakalima na kupanda miti..you know what wanajua kuimba na kucheza ngoma...mwambie awaimbie nyimbo zote za TOT anafahamu.

Nyerere na watu wa musoma ni wakulima na wafugaji lazima wawe tofauti sana...

Nimependa hizi picha imeonyesha tofauti kubwa sana kiutendaji
Mkuu imenishitua sana. Kuna tofauti kubwa kati ya hawa viongozi wetu kiasi kwamba ni ngumu mno kusema wanakaribiana.
Na yale matendo ndio yanathibitisha nini mtu amejaza ndani ya moyo wake.Ni kazi au ni utanashati na kuhutubia kwenye 5 Star hotels za ulimwengu huu.
 
Back
Top Bottom