THE POEM: Bwana Kiranga, Atheist

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,738
6,803
Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache akidhani wengine kushinda zaidi ya hapo alipofanya yeye ni dhambi. He hates achievers who achieve more than him to the extent that he hates his own God

The same mentality imekua kiasi kwamba yeye akiona mtu/kitu kina-power zaidi yake yeye basi anaona wivu unaozaa hate then anadeliver hio hate kwa sahani ya criticism.

The same mentality ndo inamfanya asikubali uwepo wa Mungu sababu hataki kuona na kukubali makuu Mungu aliofanya anatamani angekua na uwezo akayafanya yeye ili watu wamtukuze.

Na hawa watu aina ya bwana kiranga ni very dangerous wakipata power. Sababu wataanza kuforce ku-achieve vitu ili tu wao ndo waongelewe na watukuzwe hawatotaka kusikia wengine wakiongelewa kwa makuu waliofanya. Hio ndo maana anawachukia watu kama Elon Musk, Magufuli, nk...

That's kiranga, yupo kwenye extremely critical level ya Narcissism ila hataki kukubali ukweli.

Screenshot_20240121_200059_Chrome.jpg
 
Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache akidhani wengine kushinda zaidi ya hapo alipofanya yeye ni dhambi. He hates achievers who achieve more than him to the extent that he hates his own God

The same mentality imekua kiasi kwamba yeye akiona mtu/kitu kina-power zaidi yake yeye basi anaona wivu unaozaa hate then anadeliver hio hate kwa sahani ya criticism.

The same mentality ndo inamfanya asikubali uwepo wa Mungu sababu hataki kuona na kukubali makuu Mungu aliofanya anatamani angekua na uwezo akayafanya yeye ili watu wamtukuze.

Na hawa watu aina ya bwana kiranga ni very dangerous wakipata power. Sababu wataanza kuforce ku-achieve vitu ili tu wao ndo waongelewe na watukuzwe hawatotaka kusikia wengine wakiongelewa kwa makuu waliofanya. Hio ndo maana anawachukia watu kama Elon Musk, Magufuli, nk...

That's kiranga, ila hataki kukubali ukweli.
Hasa wewe ulie anzisha Uzi na title ya Uzi wako kuna jina lake huoni kama ndio unazidi kumtukuza hadi wasio mjuwa watanza kujiuliza kiranga ni nani.
 
Hakuna successful persom hapo kama ni top tier -richest men in Tz wanajulikana...Moja ya kitu asichokijua hata hiyo idea yake kakuta watu wanayo kabisa yaani hana kipya watu walikuwa nayo tangu miaka ya 1800's ...Bora yule anayedai kuhusu dini na Mungu asili ya kiafrica sio hawa ambao wanaiga utamaduni wa nje kisa wamefika huko...Wanafuata mkumbo vitu hawajui..
 
Hasa wewe ulie anzisha Uzi na title ya Uzi wako kuna jina lake huoni kama ndio unazidi kumtukuza hadi wasio mjuwa watanza kujiuliza kiranga ni nani.
Mkuu,

Huyu jamaa kashindwa kujibu hoja kakimbia uzi kwa kuniblock lkn bado anatupa vijembe kupitia comments za wengine, sasa mm huwa sipindishi, nmemfungulia uzi apate info ajue yeye ni cheap sana na tatizo lake tumelijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom