The ONE thing you Love Most!

kati ya vitu vinavo niboa nihicho

usiboreke jaman mwenzio nishazoea...zaman mpk kucha za miguu nilikuwa nakata na meno nanyanyua mguu juu naukunja mpk mdomon ..sw siwez cz watu wataNICHUNGULIA nikinyanyua mguu bt swaga za mkono ni zile ziule full kutafuna..

kutafuna kucha kunaleta busara c z mtu akikuboa unawaza kuwaza kwanza kidole mdomon wala uropoki kuanza kumfokea baada ya apo jibu moja tu ukimpa mdau anatawanyika kwa mbwembwe

wakat ukisoma kidole mdomon ahh asikwambie mtu full maconcetration yaan..
 
hahahaha..... Wifi acha kunibania bana!! hebu niambie pleeeease; (la sivo kakako ataipata....lol)

Ha ha ha ha mweeehhh haya bana..........................................................

Sio siri mie katika vitu navovipenda ni kudekeza na kudekezwa......................vingine vipo lakini hiii ndo ya muhimu (Ha ha ha huna ubavu kwa my bro hapo huchomoi hata kwa ncha ya upanga)
 
Hii post sasa imenifurahisha wifi... naona nishaelewa (nimegundua nitalikoroga hivo nakua mpole....lol)
 
Pal... umeniacha njia panda....lol.. As in the way it looks or The way you are good with words??
i mean ubwabwajaji wangu...

domo lenyewe wala halivutii, kubwa kama la shabba ranks
 
ashadii my smile watu huwa wananikubali kwa ilo ni strength yangu kwa mambo mengi
ningekuwa na furaha nadhani lingetoka zaidi basi tu......
 
Hii post sasa imenifurahisha wifi... naona nishaelewa (nimegundua nitalikoroga hivo nakua mpole....lol)

Hapo tuko msitari mmoja sasa (Vipi baridi huko? lakini huwezi amini eti huku kuna joto kama dar wajameni nimeshangaa kweli leo asubuhi NB Thread inaruhusiwa kuchakachuliwa???)
 
i mean ubwabwajaji wangu...

domo lenyewe wala halivutii, kubwa kama la shabba ranks

Dah! Pal hilo naamini kabisa....lol... as much as sijawahi kusikia.... Ukiniambia mdomo kama wa Shaba nachukulia for granted kua sauti kama yake...lol
 
ashadii my smile watu huwa wananikubali kwa ilo ni strength yangu kwa mambo mengi
ningekuwa na furaha nadhani lingetoka zaidi basi tu......

Bebii with a name like yours and that Avatar combined by your Naïveté naamini kabisa dear.....lol
 
Hapo tuko msitari mmoja sasa (Vipi baridi huko? lakini huwezi amini eti huku kuna joto kama dar wajameni nimeshangaa kweli leo asubuhi NB Thread inaruhusiwa kuchakachuliwa???)

Hapo sawa.... (Mpenzi hii ni Chit chat forum... yaani topic zoote zaruhusiwa ili mradi ya mrusha mada ijibiwe kwanza....lol)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom