The number of registered engineers in Kenya is five times more than the number of registered engineers in Tanzania

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Tanzania nzima Chuo Kikuu cha kufunza Wahandisi ni 1 tu UDSM kwenye nchi yenye watu > milioni 45, sijui kuhusu Kenya, hivyo hizo takwimu ni sawa kabisa, so sad!
Mbona vyuo vya kuproduce engineers bongo viko kadhaa sio UDSM tu mkuu?
Kuna UDOM, MUST, DIT, Arusha Technical, St Joseph vyote hivyo mbona vina produce engineers year in year out mkuu?
Barbarosa
 
Not surprised, ukizingatia wale ambao bado hawajasajiriwa ni maelfu.
 
Mbona vyuo vya kuproduce engineers bongo viko kadhaa sio UDSM tu mkuu?
Kuna UDOM, MUST, DIT, Arusha Technical, St Joseph vyote hivyo mbona vina produce engineers year in year out mkuu?
Barbarosa

Hivyo vyote ni diplomas hata kama hawataki kuita hivyo lkn ndiyo ukweli wenyewe, wamebadilisha jina tu ktk Diploma kwenda Bachelor lkn wanachofundisha ni cha ngazi ya diploma na siyo sawa na UDSM
 
We jamaa kama kunakitu hukijui uliza.
Sisi Tanzania tupo na qualification ya mtu kuitwa injinia.
Hao wakenya wameokoteza kila mtu na kumuweka kwenye database.
Siyo kila mtu anayemaliza chuo tayari anaqualify kuwa injia.
 
Jibu langu halina uhusiano na TZ vs Ke, bali nimeandika kuhusu halisi na kwamba kwangu haishangazi kuwa na Wahandisi wachache kama mpaka leo hii Chuo pekee kinachofundisha Uhandisi proper ni 1 UDSM, hivyo vingine ni ngazi ya diploma ambapo wamegeuza kuwa bachelors, sijui kuhusu Kenya na wala kusema ukweli hainihusu ila kwangu mimi tunahitaji kujipanga hapa.
 
Jibu langu halina uhusiano na TZ vs Ke, bali nimeandika kuhusu halisi na kwamba kwangu haishangazi kuwa na Wahandisi wachache kama mpaka leo hii Chuo pekee kinachofundisha Uhandisi proper ni 1 UDSM, hivyo vingine ni ngazi ya diploma ambapo wamegeuza kuwa bachelors, sijui kuhusu Kenya na wala kusema ukweli hainihusu ila kwangu mimi tunahitaji kujipanga hapa, ...
Nimekuambia fanya utafiti kabla ya kuweka kitu ambacho hujui.
1606656338612.png
 
Jibu langu halina uhusiano na TZ vs Ke, bali nimeandika kuhusu halisi na kwamba kwangu haishangazi kuwa na Wahandisi wachache kama mpaka leo hii Chuo pekee kinachofundisha Uhandisi proper ni 1 UDSM, hivyo vingine ni ngazi ya diploma ambapo wamegeuza kuwa bachelors, sijui kuhusu Kenya na wala kusema ukweli hainihusu ila kwangu mimi tunahitaji kujipanga hapa, ...
1606656443856.png
 
Back
Top Bottom