Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".
Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.
Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!
Chess: It is your move.