The hotter she is, the worse you have to treat her

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Ni ukweli unaosikitisha kuwa wanawake mnawaona wazuri wanapenda kutreatiwa kama takataka. Chukua fursa hiyo ukishamshapata mfanye kama takataka. Akiwa mzuri zaidi mtreat kama takataka zaidi na zaidi.

Ukimtreat kama celebrity ama superstar atakutreat kama fan wake. Utamtumia message za kumjulia hali sijui unampongeza na kumpa bichwa hata hatazijibu atakuona wewe ni wa kawaida sana.

Anataka wale watu ambao hawana time naye wanaompuuzia na kutomjua hali kila muda. Ukimtreat kama taka taka atajua kuwa ni kawaida yako kukutana na wanawake wazuri kwahivyo hatakusumbua na atakufukuzia.

Shughulika na mambo yako, usiwe miongoni wa wale wanaomfuata inbox kumsifia kisha wote wanashushwa thamani. Mwanamke mzuri anatakiwa ashushwe thamani Ili awe kwenye normal level yake na aondoe kiburi.

Remember;

The hotter she is the worse you have to treat her.

The better she is the worst you got to treat her treat her like garbage.


They love it.
 
Upo sahihi mzeee kuna demu mkaliiiiii nimempata kizembe sana yani keshasifiwa na watu kibaoo mi nilikuwa simsifii ata akiweka status naview napita vile labda tu niwe na mood narwply na emoj,mud mwingi nachati nae dirty words tuu
 
Back
Top Bottom