The Habits Our parents failled to control....Are they a threat to our children?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,999
Habari za mchana wanajamii? Poleni kwa majukumu ya nusu siku....
Leo Jambo linalonitatiza ni hili. Binafsi napenda sana sukari! yani nimepitiliza...asubuhi nitaweka nyingi kwenye chai.
Vinywaji vingi nnavyokunywa ni vya sukari na ni ngumu sana unishawishi ninywe kisichokuwa na sukari zaidi ya maji..
Wazazi wangu wamepiga kelele na kuchukua other measures sana ila wapi nimekua na bado sijabadilika....

Sasa kwa kauchunguzi kangu kadogo nilikofanya nimegundua sukari haina madhara kwa mtu ambaye siyo diabetic(specificaly with high blood sugar)...Ila watu wanasema ina madhara na mimi nakiri kwenye uchunguzi wangu nayaamini majibu kwa 45.09652%.

Point yangu wanaJamii siyo sukari huo nimetoa tu kama mfano il muelewe vizuri swali langu BALI point yangu ni tabia zetu ambazo si nzuri kiafya, kijamii na kidini ambazo wazazi wetu wamekuwa wakizishape in an attempt to raise us up to fit in the society.

Je zile walizoshindwa kuzirekebisha kabisa zina madhara makubwa kwa wanetu?
Kwa mfano mimi nawaza namwambiaje mwanangu, 'my son don't consume much sugar, it's not good for your health' wakati mimi baba yake nimeshindikana?
FYI: i wish to become the best father possible
 
oh petcash....sukari ina madhara hata kwa watu wengineo wasiyo diabetic..............inaongeza uzito haraka sana kwa sababu haisagwi mwilini na hivyo kuingia kwenye mishipa ya damu haraka na matokeo yake inapozidi maini huigeuza mafuta...............ambayo yanapokuwa mengi hurundikana kwenye eneo moja liitwalo omentum. na hapo wengi huita kifriji..........inapozidi omentum hukandamiza pancreas na spleen mwishowe diabetes hutokea au figo na maini kushindwa kutekeleza majukumu yake. Madhara ya figo kushindwa kufanyakazi ni mchujo wa damu ni dhaifu na hapo dialysis hutakiwa ambayo hugharimu si chini ya 600,000/- kwa wiki kwa mgonjwa kwa maisha yake yote au apate donor stahiki.

la pili mzazi sauti kwenye tabia ya mtoto wake ni matendo yake tu na kauli yake mzazi mweenyewe. Watoto huthamini matendo na kauli za wazazi na huziiga...............kama baba ni mlevi, anavuta sigara na anapiga mama basi tarajia watoto wa kiume watafuata nyayo n.k

Jijenge kitabia na mengineyo hayana shida................best wishes to all prospective daddies
 
Thank you so much...nadhani umeongeza miaka kwenye maisha yangu. It my first time to hear that about sugar.
Kwa hiyo tabia wazazi walizoshindwa kuzi 'suppress' tunazipeleka kwa watoto...
 
Mi nafikiri mzazi hata kama kuna tabia unayo na si nzuri inakupasa umkanye mtoto wako asifanye na jitahidi usiioneshe hiyo tabia kwa watoto.
 
Kwa hiyo unanishauri nikikaa mezani na familia yangu niweke kijiko kimoja na nusu ili nikihubiri habari ya sukari somo lieleweke? ntateseka mwenzio...
 
waswahili wanasema "fata maneno yangu usifate matendo yangu". Ukishindwa apply huo msemo.
 
Back
Top Bottom