The First Ever Tanzanian Professional Diaspora Summit December 2009 On Empowerment

TENTATIVE PROGRAMME


TANZANIAN DIASPORA SUMMIT 2009


15th – 17th December 2009 – Blue Pearl – Ubungo Plaza


Day One: Inaugural Session
Tuesday, 15th December 2009

Opening Ceremony
· Registration
· Inaugural Session
· Welcome Remarks
· Keynote Address Chief Guest – To be announced later
· There will be an Opening Dinner and Reception

Sessions on First, Second and Third Day: Morning and Afternoon, both Plenary and Parallel Breakaway Session
1. How Tanzania has made the Private Sector attractive to Diaspora investment and, the readiness of the Diaspora to invest in Tanzania
2. Cross-Cutting Issue: HIV/AIDS Status
3. Diaspora contribution to Tanzania Economic Development
4. Investment Opportunities in some of the priority investment sectors.
5. Innovations at Universities
6. Investment in the ICT Sector
7. Tourism Sector Investment
8. Initiatives and Progress in Agro-Processing
9. International Trade and Market
10. The Hotel Industry and its challenges
11. Business Incubation
12. Business Process Outsourcing
13. Health Services Industry
14. Financial Services and the Diaspora
15. Education Management & Services
16. Investment Protection
17. TPN and Diaspora Associations for Economic Empowerment
18. Real Estate Investments
19. Political climate, Executive, Legislature and Judiciary issues that challenges and constrains that face the Diaspora investment. It will be a public platform where the land, immigration issues like duo-citizenship, company registration procedures, tax administration.
20. Investment Opportunities, the mining and Petroleum sector
21. Using ICTs and Working at home
22. Industrialization and Value Addition
23. DSM Stock Exchange
24. Investment Opportunities for the youth
25. Impact of Research and ICT in Development
26. Empowering Women of Tanzania
27. Entrepreneurship Skills and Creativity in Establishing Feasible Projects
28. Securing Capital or Funding for the Established Projects
29. Getting Strong and Committed Partners to work together
30. Sales and Market Networking for the Products and Services of the established Projects
31. Challenges in Securing Employment
32. Role of NGO’s in Economic Empowerment

NB: There will be a Reception/Closing Dinner at the end of Summit. Exchange of Business Contacts is Expected and also Excursions and Visitations which can be arranged at personal levels
 
Dates:
Tuesday 15th to Friday 18th December 2009
Venue:
Dar Es Salaam; Ubungo Plaza; Blue Pearl Hotel
Participation Fees*:
USD $ 100 or TZS 150,000

* Participation Fees Covers 3 full days conference attendance, 2 tea breaks with snacks, lunch buffet, 1 soft drink, Opening Dinner and Closing Dinner, Excluded in the fees: 4th day which has been set aside for one to one meeting and excursions
 
For Confirmation and other details, please contact:
President@tpn.co.tz
You can make payments and get your receipt using any of the following methods:

· Bank Deposits or TT to: Tanzania Professionals Network, CRDB Bank; Lumumba Branch; Dar Es Salaam; Tanzania. US $ A/C No: 02J1 007 608 900; TZS A/C No: 01J1 007 608 901

· Z-Pesa (Zantel): 0777 334 078 — Consolata Maimu; TPN Treasurer

· Voda-Pesa (Vodacom): 0767 601 044 — Method Bakuza; Secretary General

· Western Union — Send to: Consolata Maimu; Dar Es Salaam; Tanzania

· Cash: TPN Office — Nyerere Road; TOHS Building; 1st Floor, Next to TBC Radio
 
kama mtu ambaye nyumbani kwake ni dar na hata hitaji hiyo huduma ya $100 ana inakuwaje
 
kama mtu ambaye nyumbani kwake ni dar na hata hitaji hiyo huduma ya $100 ana inakuwaje

Mkuu,

Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa hiyo $ 100 ni kidogo sana ukilinganisha na actual cost ambazo kila individual atazibeba, Mfano: Participation Fees Covers 3 full days conference attendance, 2 tea breaks with snacks, lunch buffet, 1 soft drink Kila siku ni ($ 35 X3), Opening Dinner and Closing Dinner kila moja ni ($ 15-20 X 2 Dinners), hiyo ni mbali na gharama za ukumbi mkuu wa Summit, breakaway workshop rooms, materials, publicity, advertisement, n.k.

Tumeweka rate ya chini ili kuondoa kikwazo cha kifedha ili kila mtu ambaye yuko serious apate nafasi ya kuhudhuria. Kiasi kilichozidi, tunajitahidi tuweze kupata sponsors.
 
Wazalendo Wenzangu;

Napenda kuwajulisha kuwa Registration imekwishaanza na tayari Wazalendo wa Ndani na Nje ya Nchi Wamejitokeza.

Kujiandikisha unaweza kujaza Form iliyoambatanishwa na kuituma kwa: President@tpn.co.tz

Tunaomba pia tusaidiane kueneza habari hii kwa wale wote tunaowafahamu hususani nje ya nchi.
 

· Bank Deposits or TT to: Tanzania Professionals Network, CRDB Bank; Lumumba Branch; Dar Es Salaam; Tanzania. US $ A/C No: 02J1 007 608 900; TZS A/C No: 01J1 007 608 901

· Z-Pesa (Zantel): 0777 334 078 — Consolata Maimu; TPN Treasurer

· Voda-Pesa (Vodacom): 0767 601 044 — Method Bakuza; Secretary General

· Western Union — Send to: Consolata Maimu; Dar Es Salaam; Tanzania


· Cash: TPN Office — Nyerere Road; TOHS Building; 1st Floor, Next to TBC Radio

..mkuu tunaomba tafsiri hapo juu.
 
..mkuu tunaomba tafsiri hapo juu.

Kiongozi Ab Tichaz;

Kuna malipo ya participation Fees ya US $ 100 au TZS 150,000 kama ilivyoainishwa katika moja ya post hapo juu.

Unaweza kufanya malipo kupitia moja katika ya njia zilizotolewa hapo juu.
 
Wana JF; ule muda wa ile Conference yetu umewadia na maendeleo ni mazuri. Kuna mbadiliko kidogo ya Kimsingi:

Dates:

Saasa itakuwa ni kwa siku moja tu: Friday 18th December 2009

Venue:

Golden Tulip Hotel; Masaki; Dar Es Salaam

Participation Fees*:

TZS 50,000
 
Mtsimbe,
thanks, now we've a full picture for the summit. Let us now prepare ourselves for participation
 
Mtsimbe,
thanks, now we've a full picture for the summit. Let us now prepare ourselves for participation


Mzalendo Fungwe, asante sana na karibu. Tujiandae kimawazo kwani hayo ndiyo yanahitajika sana.

Unaweza kupata details kutoka: president@tpn.co.tz

Utaletewa Concept Paper na Registration Form.

karibu sana.
 
Na malofa je naona hawamo loh kwani lazima Golden Tulip nafuu ungefanyika sehemu za nafuu na kiingilio kipungue bana anyway umesema ni kwa maporofeshono,malofa kaeni na Vicoba vyenu grrrrr
 
Na malofa je naona hawamo loh kwani lazima Golden Tulip nafuu ungefanyika sehemu za nafuu na kiingilio kipungue bana anyway umesema ni kwa maporofeshono,malofa kaeni na Vicoba vyenu grrrrr

Mzalendo Mfia-Nchi Asante sana kwa maoni yako juu ya Kiingilio. Bahati mbaya maoni yako yanakuja baada ya Waraka wa Kiini (Concept Paper), kujadiliwa kwa karibu takribani mwaka mzima likiwepo suala la kiingilio.

Kihistoria TPN toka awali ilijiwekea makakati kwamba si jambo jema sana kutegemea Donors kwani watakufanya ushindwe kuwa huru kunapokuwa na mambo ya kukinzana na hao donors. Pili TPN kama advocate wa kujiwezesha kiuchumi si vema sana kutegemea donors. Msingi huu umekuwa ndo msingi mkuu katika uendeshaji wa TPN tokea ilipoanzishwa mwishoni mwa 2007. Kwa hiyo hata katika Kongamano hili TPN yenyewe ndiyo inagharamia kupitia michango ya washiriki wa hili kongamano.


Awali kuweza kumudu gaharama zote, tulifanya kiingilio kiwe TZS 150,000, lakini baada ya wanachama na wakereketwa kujikamua zaidi tukaona ni vema tupunguze kiingilio na kurekebisha mambo fulani fulani.

Tusigeweza kuweka kiingilio bure wakati chakula, maji na chai za saa nne na saa kumi, ukumbi, PA system nk peke yake ni US $ 35 kwa mshiriki.

Lakini niseme pia kuwa TPN haijafunga milango milango, kama kuna mtu ana nia ya dhati ya kuja kuhudhria Kongamano lakini hana ada ya ushiriki basi tunaomba awasiliane na TPN. Bado tunao wanachama wakereketwa na sponsors wa ndani ya TPN ambao nina uhakika wanaweza kuwalipia.

Lakini ni vizuri kutambua kwamba mikutano hii ina gharama, na gharama lazima zichangiwe. Tukumbuke kwamba ghrama za mikutano haziishia hapo, kuna gharama za makabrasha ya mkutano, vifaa vya kuendeshea mikutano, matangazo, mawasiliano na watu mbalimbali km wawezeshaji na hata wakereketwa wachache sana ambao wasaidia gharama fulani fulani.

Pia lengo la mkutano huusiyo kuwa na namba kubwa ya ushiriki, bali ni utayari wa washiriki kuleta mabadiliko kwa wao wenyewe na wanataaluma wengine. Kama mwana taaluma wa kawaida ataona hiyo hela ni kubwa sana hawezi, basi kwa kweli 'we have a long way to go'.

TPN inategemea kama kuna watakaotaka subsidies wawe wanafunzi, na wale walioko kwenye transition ya between school and jobs. Lakini wako wapi wanataaluma wote hawa tunaokutana nao kwenye vikao vya harusi? kwenye kuvunja kamati? kamati za kipa imara na gradutaion? kwenye vijiwe vya rose garden n.k hawa walioshika nafasi tayari ambao wakiwa na right attitude watawachangia wale wasio na uwezo?

Hakuna maendeleo ya kweli ya kujitegemea kwa kupitia subsidies, hebu tusaidiane kutiana changamoto ili ili liwe wazi kwa wengi.
 
Kazi nzuri mkuu Mtsimbe,

Nawatakia kila la heri ktk hiyo summit na naamini nikisha rudi TZ ntajiunga mara moja. Jitihada hizi ni muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu na hasa wakati huu ambao nchi yetu iko njia panda.
 
Watanzania lazima tubadilike..........hela ya kuchangia harusi wala watu hawa lalamiki lakini ukileta wazo zuri la kimaendeleo utasikia .....oh hela ni nyingi.....jamani ni wakakti umefika tujenge miradi yetu ktk jamii tena ambayo hata serikali haitakuwa na sauti nayo, hapo kama serikali nao wana akili wataanza kujishighulisha na kwa kufanya hivyo nchi inainuka.

Nawaombea mfanikishe summit hii naimani ya mwakani ntahudhuria kwani kwa sasa bado napiga shule kidogo ughaibuni.
 
Kazi nzuri mkuu Mtsimbe,

Nawatakia kila la heri ktk hiyo summit na naamini nikisha rudi TZ ntajiunga mara moja. Jitihada hizi ni muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu na hasa wakati huu ambao nchi yetu iko njia panda.

Asante Sana Mzalendo Magezi. Tuko pamoja.
 
Watanzania lazima tubadilike..........hela ya kuchangia harusi wala watu hawa lalamiki lakini ukileta wazo zuri la kimaendeleo utasikia .....oh hela ni nyingi.....jamani ni wakakti umefika tujenge miradi yetu ktk jamii tena ambayo hata serikali haitakuwa na sauti nayo, hapo kama serikali nao wana akili wataanza kujishighulisha na kwa kufanya hivyo nchi inainuka.

Nawaombea mfanikishe summit hii naimani ya mwakani ntahudhuria kwani kwa sasa bado napiga shule kidogo ughaibuni.


Mzalendo, Kila la Heri.

Mungu akipenda tutaonana mwakani.
 
Tanzania Professionals Network (TPN)





Nyumbani Ni Nyumbani 2009





Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi






Mada: Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo





1.Namna gani Wataalamu Wanavyoweza Kusaidia Kuweka Vipaumbele vya Kitaifa katika Kujenga Uchumi Imara





2.Ni Vipi Wanataaluma Wanaweza Kusaidia Watanzania wa Kawaida Waweze Kushiriki Katika Ujenzi wa Uchumi wa Taifa na Kuboresha Maisha Yao





3.Jinsi Wanataaluma Wanavyoweza Kukabiliana na Changamoto katika Kuleta Maendeleo ya Kiuchumi, Kisiasa, Kielimu, Kijamii, nk.





4.Namna Gani Wanataaluma Waliopo Nje ya Nchi Wanaweza Kushiriki Kuleta Maendeleo Nchini





5.Wanataaluma na Dira ya Maendeleo ya Taifa Letu: Tukotoka; Tulipo, Tunakokwenda: Changamoto na Ufumbuzi Wake





6.Je, Ni Wakati Gani Mwafaka Wanataaluma Walazimike Kuchukuka Hatua Za Kuleta Mabadiliko Na kwa Namna Gani?





7.Ni Mikakati Gani Watumie Wanataaluma Kupeana Habari na Taarifa Za Uhakika na kwa Muda Muafaka/





Siku na Muda:


Ijumaa; 18th December 2009; Saa 2.00 Asubuhi -11.00 Jioni





Mahali:


Golden Tulip Toure Drive, Msasani Peninsula






Washiriki:


Wanataaluma na Wasomi Wote Wazalendo Mnaombwa Kufika Bila Kukosa





Ada ya Ushiriki:


TZS 50,000 (Kwa ajili ya Ukumbi; Chakula; Tea na Snacks, PA, Documents nk)





Angalizo:


Viongozi wa Vyama Vya Kitaaluma na Wanataaluma Wanaharakati wa Maendeleo Walioko Mikoani Wamewekewa Nafasi Zao na Watalipiwa Ada ya Ushiriki; Tuwasiliane. Huu si wakati wa Kulaumu. Kama Umeguswa naMada, usikose kuja Kutoa Mawazo yako.





Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:



0715 740 047 ; president@tpn.co.tz; www.tpntz.org





Waandaaji: TPN – Costech - TSN– OUT – UDSM - Serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom