The Fact: Lowassa is about to unfold it!

Lowasa ni bora kuliko kikwete mara 100%. Hakuna ubishi wengi mnaleta chuki zenu humu bila sababu. Oct 2010 JK alisema hakuna mchapa kazi baadaye kidogo ndani ya miezi jk akasema huyu ni gamba. Huo ni mchezo wa kitoto. Heri Lowasa kuliko huyo mgonjwa wenu x anayebadilisha damu.
 
Oho, what shit again about? A devil and evil, they might differ?! Is better being a beggar than being in a luxury perverting for this debris person.
 
Even JK is a gamba taking into consideration the recent scandal of having been bribed 5 pieces of suit, money and othe cheap favours. How can u condemn Lowassa while there is clear evidence that the chairman is even dirtier?
 
That will be good of him! let him (Lowassa) unfold the unfolded tusikie na kuchambua, inawezekana kweli kafanywa jalala la kutupiwa kila aina ya viroba vya misumari for long,acha ajitokeze!
 
too much is harmful let us wait what will be happen about ccm may be is the time for all leaders to be answerable on this situation
 
That will be good of him! let him (Lowassa) unfold the unfolded tusikie na kuchambua, inawezekana kweli kafanywa jalala la kutupiwa kila aina ya viroba vya misumari for long,acha ajitokeze!

We wish him well in this suicide mission.
 
Dont cheat ourself. The film of VUA GAMBA IS ALREADY halted. Can't you see that ROSTAM AZIZI is among CCM campaign members in IGUNGA by election. Lowasa is there to stay.
 
Ukimnyooshea kidole LOWASI vingine vinakurudia wewe. Karibu watanzania wote wanapaswa kujivua GAMBA. Hata kama umechukua rusha ya Tshs 1,000.00 hiyo bado ni rushwa mbele za MUNGU ni mkosaji tu
 
Masikini wewe.

Kitendo cha kiharamia cha kupiga watu kinatafsiriwa kuwa mwisho mbaya kwa Lowasa.Hii ni habari njema sana kwa wapinzani wake ktk kinyang`anyiro cha kugombea urais.

Kitendo kile kitafsiriwa na watu kuwa ni kujimaliza mwenywe huyu mzee ambaye muda mrefu amekuwa mwekezaji ktk mitandao..makosa aliyofanya ktk kujiokoa makuyuni ili taswaira ya kushindwa na hivyo kujidhalilisha zaidi mbele ya makabila mawili ambayo yanamhesabu km shehemu yao:Nao ni wameru na wamasai(masai+ waarusha).

-Wameru walimpenda ingawa walichukia kitendo cha kuhamia masaini.....sasa kuwapigia mbunge wao wa kabila lao ndio kuvunja mahusiano na kuwa adui kabisa.

-Kitendo cha kufanya malipizi visasi vilishaudhi sana wamasai, na kilichokua kinamshikilia ni kutumia maagano ya jadi kuwa black mail wazee wa kimasai.Sasa kupigwa kwa wana CDM na Mbunge wao..tena kwa watu wasiojulika na jamii ya kimasai kumefanya wazee wa kimasai wamchoke huu jamaa.

Huyu mzee sasa ameshapoteza kura nyingi sana za mkoa wa arusha na wilaya zake, ikumbukwe pia wapinzani wake wana mshuku ktk mambo yaliyomkuta mwakyembe.Hii inampotezea kura ktk mkoa wa mbeya na hivyo madhara yake kwenda hadi Dar na mikoa mingine.

Ni jambo ya kushangaza sana huyu mzee kushindwa vumilia kushindwa makuyuni ili aje shida yaliyo makubwa zaidi.
 
hongera mwanaharakati kwa kuendeleza harakati zako kwa kuchumia tumbo. hamia CDM kwa wanasiasa MASLAHI ndio kutakapokufaa. WANAHARAKATI ni moja kati ya misiba na majanga makuu ya kitaifa. msalimie mficha magaidi H.K.BISIMBA
 
Are you a clairvoyant or a foolish messenger? whoever you are, please polish your language before assuming a 'spokesperson' role for people who are obsessed by the quest to be president of this country.
 
this is getting dirty now ati Hellen Kijo anahifadhi magaidi, duu siasa mbaya kweli
 
Na Nova Kambota,
"Wakati inakuja wakati ukweli wa kufunuliwa, na kuangalia kila mtu wataona ukweli"

Pengine mimi alivyotabiri kwa usahihi mara moja mimi alisema kwamba wakati inakuja wakati Lowassa atakayelazimishwa kuzungumza na nadhani huu ni wakati muafaka.

Kufuatia "kuungua Pius Msekwa kashfa" na maoni ya watu juu ya suala zima hakuna shaka kwamba Lowassa atakuwa kuzungumza kitu, hii ni kwa sababu kila mtu inadai kwamba "Lowassa ni nyuma uundaji wa" kashfa ya Msekwa "ili kufanya CCM kubisha kukamilisha yake "Operesheni vua Gamba", watu hawa wanasema kuwa picha nzima imekuwa inayotolewa na Lowassa na mtandao wake ili kuwanyamazisha Msekwa ambaye amekuwa hivyo fujo kwa watu wote wanaotuhumiwa athari picha mbaya kwa chama tawala, Chama cha Mapinduzi CCM.

Kuna baadhi ya columnists tayari imeandikwa katika majarida yao kwamba "Msekwa pia ni Gamba yeye lazima kuondolewa kutoka CCM", hii inaonyesha kwamba hakuna mtu ni kamili safi katika CCM kama wakati wote hata Msekwa mkongwe ni jina lake baada ya "ufisadi".

Nadhani muda wake kidogo kabla ya Lowassa linatokana na jeshi lake mtu mmoja na kuguswa na hali hii, na hapa Lowassa watasema kwamba "kila mtu anapaswa kubeba msalaba wake mwenyewe" ndiyo kila mtu mshitakiwa lazima ajiuzulu bila akizungumzia Lowassa au wengine.

Lowassa hivi karibuni atakuwa kufunua kuhusu hili, yeye ni kwenda kuwaambia yake viongozi wa CCM kuacha kupakia kila uovu juu ya jina lake, ndiyo yake tu suala la muda kabla Lowassa anaongea dhidi ya chama chake, si muda mrefu sana, hebu kusubiri na kuona!
 
Dont cheat ourself. The film of VUA GAMBA IS ALREADY halted. Can't you see that ROSTAM AZIZI is among CCM campaign members in IGUNGA by election. Lowasa is there to stay.

I was thinking in the same way as you.
 
Back
Top Bottom