The EastAfrican - Japan, China race to pump money into EA infrastructure projects

I think this is the way and the west cant help noticing how the projects are massive in Africa. I wonder why westerners would wants to advocate more on human/rights gay rights while giving a blind eye to regional development. I think they are the reason why Africa has lagged behind in many decades. There was a decade where Africa's population was rapidly dying of HIV, and hit by famines only to find that those being born are triple those that die. The presence of those Asian tigers in africa is coupled with concpicous and notable development projects. They are the global economic levellers. As Euro-zone struggles to emerge from the Euro-crisis, they will be closley watching China's economic growth model. Perherps that would be a learning experience for Eurozone from Asia.
 
walianza waarabu sijui na nani wengine enzi hizoooo. wakachukua walivyochukua na kutuletea magarasa waliyoyaleta. hao walipita.

wakafuata wareno miaka fulani ya kati. wakatutazamisha west. wareno hawakupita hivi hivi. wao walizoa vya kuzoa na maeneo makubwa kujikatia na kuyafanya sehemu za ureno mbali na kwao.

wareno wakawaleta wazungu wenzao lukuki. hao wakaja kutuswaga utumwani. tukaishia kupigana wenyewe kwa wenyewe ktk dili za kutafuta mateka tuwauze utumwani tupate vijisenti vya kununulia vipande vya kaniki ambavyo tukivivaa tunajiona nasi tumestaarabika!

wazungu baada ya kuona utumwa hauna faida kwao, wakaamua kugawana maeneo makubwa barani afrika. wakaanza kuchuma na maliasili nyingi nyinginezo. dili zikawa ni kwenda kwao tu. na kwa vile sisi siku zote tunatafuta ustaarabu kwa kuwatazama wageni, basi kila kitu no bora kiende kwa wazungu. wakitupa suti zao nasi tukizaa kama shakespear, ndo tunajiona waungwana.

sasa wanakuja wachina na binamu zao wajapani. nao kama kawaida, wanagombea maeneo yakujidai barani afrika. na sisi kwa vile ndo zetu tunapiga kelele ooh bora ya hawa, manake wazungu wao wametunyonya tuuu wala hawajacha chochote. sisi letu domo karne kwa karne kuwazua wageni waje kutuendeleza!

Kweli Nyani Gabu kasema kweli...Miafrika ndivyo Ilivyo!!!
 
Back
Top Bottom