GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
President Samia Suluhu locuta causa finita"President Samia has spoken .Her words are final "You are not required to question
Kumbukeni hayo ni maneno ya kilatini na ndio msingi wa sheria zetu
Mnaomsifia Kibatala na Tundu lisu na yale maneno yao basi jua ni jargon za kilatini
Sasa kwa katiba yetu Tanzania kwa kilatini Rais wetu ni locuta causa finita
Mnaohoji bandari ,Swali lenu Pascal Mayalla alishamuuliza JPM na akajibiwa kuna mzizi uliojichimbia zaidi kwenda chini na huo upo kwa mujibu wa katiba na huo ndio umeshikilia pesa za bunge na Mahakama kwa hiyo ile issue ya separation of power inajifia by default
Tanzania kwa katiba yetu maamuzi ya Rais ndio maamuzi ya mwisho huruhusiwi kuyahoji wala kuyaongelea ovyo
Rais akipelekewa muswada na akausaini tambua hiyo ndio imeisha na hiyo ndio sheria ya nchi
Kwenye safari ya mamba na kenge wapo,Kwenye safari ya maendeleo kenge wapo wengi sana wanaotaka kujifanya mamba kwa kupinga uwekezaji
Welcome Dp World in Tanzania ,Tunampongeza Mama Samia kwa kusimamia msimamo wa katiba yetu
Samia ni kamanda in chief wa majeshi yetu haendeshwi na story za vijiweni