The darkside of chadema's movement is here critically justified

Jun 13, 2011
59
8
bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization na ukabila bila kuusahau ukanda kama ifuatavyo:

1:grace kiwelu ndesamburo ni mbunge wa viti maalum ambaye ni mtoto wa ndesamburo,mb wa moshi mjini na ni mdhamini wa cdm.hapa inaonekana cdm imeanza kulipata fadhila hata kabla ya kwenda ikulu.hivyobasi tujiadhari kung'olewa uongozi pale tu cdm itakapopora nchi maana slaa atawateua wachaga na familia ya ndesamburo.kuikabidhi nchi hii kwa cdm ni sawa na kuishonea sanda tayari kwa kuizika.

2:lucy owenya ni mb. Viti maalum ambaye pia ni shemeji wa ndesamburo

3:rose kamili ni mb. Waviti maalum ambaye ni mke wa ndoa wa padri slaa

4:christina lissu ni mb.viti maalum ambaye ni dada wa tundu lissu mb.

5: Mhonga saidi ruhwanya ni mb.viti maalum na ni mchumba wa zitto zuberi kabwe.

6:mbowe ni mke wa mtei na mtei ni mwaasisi wa cdm.je wewe unaona kuna ukombozi hapo?au ni usanii tu? Fungukeni nyie wanamagwanda.tusiipeleke nchi yetu shimoni.basi kama mupo tayari tutawalisha unga wa rutuba ili muone darkside ya cdm ambayo ndani ya chadema huwezi kuona walakuihisi.

Naomba kuwasilish wanajamii
 
upuuzi mtupu. Mbona mlishasema haya sana lakini watu wameshindwa kuwaelewa nyinyi magamba. Watanzania hawaitaki CCM hata kama CDM itakuwa ya ukoo sisi tutaiweka madarakani. Njooni na hoja lakini sio mnakuja kulalamika eti CDM ni ya kaskazini.
 
Kwanini kuna nguvu kubwa sana inatumia sasa hivi kuichambua CHADEMA? Ndesamburo, Lucy Owenya, Grace wamekuwa wabunge kwa miongo tofauti sasa lakini hakuna mtu aliyefungua mdomo, sasa CCM wananusa kung'olewa na madarakani ghafla wamegundua unasaba wa wabunge wa CHADEMA. Hivi mtu akikaa chini na kuorodhesha mkorogo wa uongozi wa CCM si watanzania watazimia?

NB: Mbunge wa CCM - Somji naye kalalamika leo bungeni kwamba anabaguliwa kutokana na asili yake (mhindi). Naona dhambi ya ubaguzi is deeply rooted kwenye CCM fabric.
 
bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization na ukabila bila kuusahau ukanda kama ifuatavyo:

1:grace kiwelu ndesamburo ni mbunge wa viti maalum ambaye ni mtoto wa ndesamburo,mb wa moshi mjini na ni mdhamini wa cdm.hapa inaonekana cdm imeanza kulipata fadhila hata kabla ya kwenda ikulu.hivyobasi tujiadhari kung'olewa uongozi pale tu cdm itakapopora nchi maana slaa atawateua wachaga na familia ya ndesamburo.kuikabidhi nchi hii kwa cdm ni sawa na kuishonea sanda tayari kwa kuizika.

2:lucy owenya ni mb. Viti maalum ambaye pia ni shemeji wa ndesamburo

3:rose kamili ni mb. Waviti maalum ambaye ni mke wa ndoa wa padri slaa

4:christina lissu ni mb.viti maalum ambaye ni dada wa tundu lissu mb.

5: Mhonga saidi ruhwanya ni mb.viti maalum na ni mchumba wa zitto zuberi kabwe.

6:mbowe ni mke wa mtei na mtei ni mwaasisi wa cdm.je wewe unaona kuna ukombozi hapo?au ni usanii tu? Fungukeni nyie wanamagwanda.tusiipeleke nchi yetu shimoni.basi kama mupo tayari tutawalisha unga wa rutuba ili muone darkside ya cdm ambayo ndani ya chadema huwezi kuona walakuihisi.

Naomba kuwasilish wanajamii

Hapo # 6 umesema MBOWE ni nani wa Mtei? mamamayo wee!
 
We mleta mada bila shaka utakuwa umeddimiziwa manguo ya kijani huko ikulu kwako ... Mpumbavu* mkubwa ww tena kahab.a lilokosa mteja.
 
yaani nilijua una jambo la maana kumbe huu upumbavu, this is called cheap, stupid, and useless method of defense or argument anyway sikuachi bure embu anza hivi mawaziri wangapi, wabunge wa viti maalumu wangapi, wakuu wa mikoa wangapi, wakuu wa wilaya wangapi, wakurugenzi wa mashirika wangapi, majudge wangapi, mabalozi wangapi, ambao hawana uhususiano wowote na mkuu wa nchi. ( nyumba ndogo, hawara, kaka, dada, shemeji, wifi, mjomba, rafiki, mkwe, waliobebeshwa mimba, wanaolinda siri zao, watoto, shangazi, baba mdogo, mama mdogo, baba mkubwa, mama mkubwa, babu, bibi, nyanya) embu toka hapa tuna mambo mengine mengi si vitu vya namna hii, grow up buddy
 
Rekebisha no 6 samahani sana na heshimu mawazo yako ila sio matusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom