The Confession of Benjamin William Mkapa

Na mimi nitakujibu kwa swali.... nchi kama Norway, Sweden wawekezaji walitoka wapi?
historia ya Norway na sweeden ipo tofaut na nchi za Africa..kuanzia 1940s uchumi wao ulikua tayari mbali kulinganisha na Africa.....tatizo naloliona wazungu wanatake advantage kwani hatuna enough sources, MUULIZE MUGABE, leo hadi comowealtth scholarship Zimbabwe inakua excluded
 
historia ya Norway na sweeden ipo tofaut na nchi za Africa..kuanzia 1940s uchumi wao ulikua tayari mbali kulinganisha na Africa.....tatizo naloliona wazungu wanatake advantage kwani hatuna enough sources, MUULIZE MUGABE, leo hadi comowealtth scholarship Zimbabwe inakua excluded

Bado hujajibu swali ... nani alikuwa mwekezaji Norway na Sweden?
 
mbona hamjibu maswali yangu wakuu?Tz bila wawekezaji inawezekana?

Mkuu haiwezekani, sivyo nchi zinavyojihakikishia maendeleo ya haraka na ya kisasa. Teknologia haipatikani mahali pamoja inataka ushirikiano WA KIMATAIFA na products zinataka masoko! Ingelikuwa inawezekana Cuba ingelikuwa mbali sana sasa hivi. Ila siyo wawekezaji uchwara na siyo kuita wawekezaji halafu unavuta blanketi. Tena ni bora nchi ikajiandaa wawekezaji wajilete wenyewe. Na kikubwa sana katika nchi kujiandaa ni kuwaandaa wananchi kupambana na kasi ya maendeleo. South Korea iliwekeza kwa wananchi wake kwa kuwapa elimu safi, sasa wanataka kuwazidi hata Jirani yao Japan.
 
siwajui wawekezaji wao ni akinanani,


Nchi tajwa ukifuatilia sana utaona kuwa wao kipindi chao kilikuwa tofauti kidogo, lakini kinafanana sana na nchi kama Korea ya Kusini. Wasomi wao na wapenda teknolojia walikwenda kufanya kazi marekani zamani sana enzi za kuanza kukua kwa teknolojia haswa ya utengenezaji mashine mbali mabli pamoja na kuundwa kwa magari. halafu baada ya kufanikiwa kielimu, uzoefu na kuwa na fedha wale wazalendo walirudi nchini mwao na kuanzisha viwanda. Haiishii hapo tu bali Nchi inatakiwa iwe na siasa safi, katiba iliyoundwa kwa ajili ya maendeleo ya nchi nzima. Kwahiyo katika hizi nchi raslimali zilizokuwepo japo kidogo zilitumika vizuri. Hapakuwa na ufujaji raslimali. Hawakuita wageni kuja kuwaibia! Wala hawakutegemea misaada zaidi.
 
Kwa nini nijifunze kiarabu? waarabu wameifanyia nini dunia karibuni (zaidi ya kusambaza suicide bombers)?

Bado narudia ushauri wangu kwako - kasome kwanza lugha ya makafiri wa kizungu uielewe vyema kabla hujaanza kuitumia
Anza wewe dogo...maan itakusaidia sana ...
 
Akili ndogo..na ushabiki...grow up dude..Mkapa has already mess up (too late) ..it up to the Nation kusema e bwana kwaheri na pole kwa kuamini wazungu au kum-put into taska kama wenzake kina mgonja...it is up to you and me..acha blah blah zako za kujifanya wazimu...

Last time I checked, Mkapa is still sitting pretty in the gravy train sipping on schnapps and nibbling on canapes in the company of Sir Andy Chande and rest of the Illuminati.
 
Kwa nini nijifunze kiarabu? waarabu wameifanyia nini dunia karibuni (zaidi ya kusambaza suicide bombers)?

Bado narudia ushauri wangu kwako - kasome kwanza lugha ya makafiri wa kizungu uielewe vyema kabla hujaanza kuitumia

Kweli hadanganyki mtu hapa. Nani ajifunze Kiarabu wakati kiasi cha Vyuo Vikuu vyote nchi za Kiislam ni chini ya 500 huku Waislamu dunia nzima idadi yao ni zaidi ya bilioni 1.6?

"the total number of books translated into Arabic during the 1,000 years since the age of Caliph Al-Ma'moun [a ninth-century Arab ruler who was a patron of cultural interaction between Arab, Persian, and Greek scholars] to this day is less than those translated in Spain in one year" World Press.

..Spain translates more books from English to its language than the entire Arab world has in 1000 years-one thousand years. If this is the case with English to Arabic translations, imagine how few Spanish, French, Russian, Portuguese, Chinese, Japanese, etc. are translated into Arabic. Not only is roughly 20% (1/5) of the Arab world illiterate, but for those who can read, the opportunity to read global literature is extremely limited....
 
Bado anabakia (BWM) kiongozi imara zaidi kiuchumi katika taifa hilii...Alithubutuu kufanya maamuzii na kuyasimamiaa kwa dhati na kukubalii mapungufu yatokanayo nayooo..

Hatuhitajii viongozi wa kupenda sifa kile sekunde na woga uliopitiliza katika kufanya maamuzii.

Nampongeza Ben kwa yote mazurii aliyoyasimamiaa na hatua aliyotufikishaa kama taifa.
barabara, kodi, elimu, afya, maji, uwajibikaji, ufutaji wa madeni, ujenzi wa mazingira ya uchumi imara endelevu bila kusahau kushusha inflation kutoka 30% to 4%.
 
Back
Top Bottom