The citizen

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,080
Kama kuna mtu ameliona Gazeti la the Citizen leo kuna picha inaonyesha jinsi fiancee wa Dk Slaa soaking in blood baada ya kupigwa na polisi najiuliza huyu mama naye kakosa nini kiasi cha kupigwa na polisi namna hii inasikitisha sana.
 
mmmh I have seen it kwakweli its real terribo,cjui my Tanzania inaelekea wapi!huyu mama at least anajulikana sasa wangapi hawajulikani,wamepigwa na kuvuja dam au hata kufa kabisa?my poor country!
 
Wapiga kura tuliyakataa haya kwa kumpigia kura Dr Slaa! NEC (Kwa Katiba ya mkoloni) ikayashinikiza haya tunayoyaona leo kwa kumpa uraisi JK Mchakachuaji na rafiki zake EL and RA. Tumechoka na unyanyasaji huu. Tutalia na katiba mpaka kieleweke!
 
Kivuitu wishowe baada ya kuona maafa yaliyotokea baada ya kuchakachua matokeo ya urais roho ilimsuta akasema ukweli kuwa lilikuwa shinikizo la Kibaki,sasa Makame na Kiravu waangalie haya yanayotokea leo ni matunda ya kazi yao, sijui wanajisikiaje manake vita hii si ya Chadema tu bali watanzania wote hivyo hata ndugu zao wataguswa ndio waelewe madhara ya maamuzi yao.Natamani wangechinjwa hadharani, hawa ndio kama Yuda wa taifa hili.
 
Kama kuna mtu ameliona Gazeti la the Citizen leo kuna picha inaonyesha jinsi fiancee wa Dk Slaa soaking in blood baada ya kupigwa na polisi najiuliza huyu mama naye kakosa nini kiasi cha kupigwa na polisi namna hii inasikitisha sana.

Wauliza mama Slaa?? yale yale ya zanzibar polisi kupiga virungu baisikeli!!! channel ten wanayo ya mwaka huuu polisi kupiga virungu gari ya raia!!!!
 
Back
Top Bottom