Kumuacha Fab litakuwa kosa kubwa mno
Ipo siku twajuta ati
James hatatusaidia lolote lile
Ngoja tukae pembeni maana Conte na Mo hawana tofauti
Jicho lako laona mbali brother,

Kwa gemu la leo tulikuwa tumekaaa
 
Hakuna haja ya Conte kuwachezesha Matic na Kante pamoja, matic kachoka, Kante aanze na Fabrigas bado ni muhimu sana kwenye kikosi.
Hilo halina ubishi kwanza huu mfumo wa viungo wawili wakabaji unatukosesha ushindi kabisa
 
kwa kitendo cha conte kumweka fabrigas nje" nimeanza kumchukia tu ............. "CONTE OUT"
 
kwa kitendo cha conte kumweka fabrigas nje" nimeanza kumchukia tu ............. "CONTE OUT"

Mkuu tulia kwanza, mechi mbili tu......inatakiwa akae kama mechi 5 ili akiingia uwanjani aweze kuwajibika ipasavyo, unajua Fabrigas ni mzembe sana siku hizi.

Akipokonywa mpira wala ashughuliki kupokonya mpira wengine. Kwanza hawawezi kucheza wote 23 at the same time.
 
first match EPL

14054208_1198847750166207_4828630223592720784_n.jpg
 
Back
Top Bottom