I hate Hiddink. Na siku yoyote akiwapanga hao Matic na Mikel kuanza game siangalii hiyo mechi....ts guaranteed to be a boring game!!!
Usitegemee anything positive kutoka kwa Hiddink afadhali ya LVG,Hata jana baada ya kumtoa Matic ndio timu ikabadilika.Kabla ya kumfukuza Jose nafikiri Roman alitakiwa kufanya kikao na wachezaji kwanza,
 
Usitegemee anything positive kutoka kwa Hiddink afadhali ya LVG,Hata jana baada ya kumtoa Matic ndio timu ikabadilika.Kabla ya kumfukuza Jose nafikiri Roman alitakiwa kufanya kikao na wachezaji kwanza,

Yaani Hiddink ni kocha kiazi sana, amekua akirudia same shit every game, game against Everton, watford ni hivyo hivyo .............
 
An update on Kurt Zouma's injury...

Chelsea Football Club's medical team have diagnosed that Kurt Zouma sustained an injury to his anterior cruciate ligament during yesterday’s (Sunday) Premier League game against Manchester United.

Kurt will undergo surgery in the next 48 hours and is expected to be out for approximately six months.

Source: Chelseafc.com
 
UPDATES:

30F97E2400000578-0-image-a-1_1454866957563.jpg


31001F4300000578-3437563-image-a-3_1454959875836.jpg


30F97C6000000578-0-image-a-9_1454867007658.jpg
 
Kuna mtu aliuliza kama habari za max allegri ni za kweli nikamwambia kuwa mtu wa karibu na abramovich amekanusha, well inawezekana alikanusha kwa kuwa ni mapema mno ila naona speculation zinaendelea kwa kasi.... Kocha aliyemfundisha allegri akiwa player amesema kuwa jamaa atakuja darajani hivyo tusubiri time will tell
 

Attachments

  • 1455005421849.jpg
    1455005421849.jpg
    40.4 KB · Views: 21
Back
Top Bottom