30BA1F4200000578-3433579-image-a-41_1454680753584.jpg

Pato has been training twice a day at Chelsea's Cobham base as he looks to build up his fitness

Chelsea do not want their new signing to risk injury by throwing him into the firing line too early

kijana anatakiwa awe fit, hizi habari za injuries za kipuzi kama majirani zetu kule hatuzitaki
 
Duh hili kweli ghetto la masela yaani wote mmesepa au mnasubiri mpate matokeo chanya ndio mje mbio umu haaa haaa siku zinaenda kasi sana,leo niko upande wenu kwa 100%
HT 0-0.
 
Jirani umekalia ki-1 na kijana wenu Zouma amepata majeraha inawezekana msimu wake ukawa umeisha leo.
 
Mentor, sikuchek mpira lkn nadhani wametuudhi vya kutosha. Yote hiyo ni kwa sababu ya vibabu clabuni. Hakuna jipya

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Cuortous anawafichia sana aibu wenzie lakini kiuhalisia defence yake yote hali mbaya sana msm huu ,,,,,,,
,
Courtous amesave za kawaida sanaa kama kipa ni lazima angesave, ambayo amesave ilikua ya hatareee ni ile ya Martial kwa ile ni sawa kabisa kumpa credits, ila nyingine ni normal saves ambazo ni lazima katika game kipa atestiwe............... save alizofanya De gea ndio unaweza sema kaibeba timu. angekua kipa mwingine zile zote ni magoli.
 
sijui jembe letu" Zouma atakua miez mingapi nje, mana alivyotua mpaka nimeshindwa kuangalia ile incident .............

12698702_10154074489772259_3645183984838740590_o.jpg

Get well soon Kurt Zouma !
 
sijui jembe letu" Zouma atakua miez mingapi nje, mana alivyotua mpaka nimeshindwa kuangalia ile incident .............

12698702_10154074489772259_3645183984838740590_o.jpg

Get well soon Kurt Zouma !

Leo jumatatu ndio atafanyiwa uchugunguzi.

Speaking about Zouma's injury post-match, Chelsea boss Guus Hiddink said: 'He will have an examination on Monday.

'It's very bad when you land with a hyperextension of your leg. Let's wait.'

Jamaa atakua kaumia sn unaona mguu ulivyo simama ktk hali isiyo ya kawaida?

Picha ingine Zouma na Fallain wakitoka uwanjani
 
Attachments

  • 1454902019108.jpg
    1454902019108.jpg
    47.3 KB · Views: 26
  • 1454902085281.jpg
    1454902085281.jpg
    15.6 KB · Views: 24
Leo jumatatu ndio atafanyiwa uchugunguzi.

Speaking about Zouma's injury post-match, Chelsea boss Guus Hiddink said: 'He will have an examination on Monday.

'It's very bad when you land with a hyperextension of your leg. Let's wait.'

Jamaa atakua kaumia sn unaona mguu ulivyo simama ktk hali isiyo ya kawaida?

Picha ingine Zouma na Fallain wakitoka uwanjani

Dah" mi hiyo picha naogopa hata kuiangalia, ila hope atarejea mapema. Zouma ana mwili mzuri, huwa hachelewagi kupona.
 
Back
Top Bottom