The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Akinukuliwa na Hansard ya tarehe 16/07/2007, Mheshimiwa Kabwe Zitto alisema nanukuu “ kutokana na majibu ya Mheshimiwa Waziri kuhusiana na Mkataba mpya wa Mgodi Buzwagi ambao Mheshimiwa Waziri ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi, amedanganya na ameeleza vitu ambavyo kwa kweli sivyo ambavyo vipo katika Mkataba ambao ameusaini” mwisho wa kunukuu.

Sasa kama mheshimiwa ZITTO alimuita Karamagi muongo,lakini Zitto akashindwa kuprove kuwa KAramagi kweli ni Muongo hapo ni nani Muongo? Zitto au Karamagi? nani kalidanganya Bunge hapo?

Kama Zitto ametoa maelezo katika Bunge ambapo ikaja kudhihirika kwamba kumbe Zitto anachanganya mambo,sasa ni nani atakuwa ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi? Zitto au Karamagi? ni nani muongo hapo?

Na kama sasa imedhihiri kuwa Zitto ndiye muongo na si karamagi,kwa nini ZITTO ASICHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU ZA KULIDANGANYA BUNGE?

Huu ndio ugonjwa wetu mkubwa. Tunaangalia hili jambo kwa miwani ya kiitikadi. Mie nikiwa namba moja, by the way.
 
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!

What else haven't I heard?

acha porojo wewe.. treat yangu mimi ni arguments. I stand on my own ground sina muda wa kujua nani ni nani.. na anafanya nini na sijui visasi.. hoja hujibiwa kwa hoja.. hazijibiwi kwa kejeli, vitisho, ubabe, au kufungia watu Ubunge!
 
acha porojo wewe.. treat yangu mimi ni arguments. I stand on my own ground sina muda wa kujua nani ni nani.. na anafanya nini na sijui visasi.. hoja hujibiwa kwa hoja.. hazijibiwi kwa kejeli, vitisho, ubabe, au kufungia watu Ubunge!

Hahaha! I liked hiyo uliyochomekea ya "kufungia watu Ubunge".
 
Alisikiliza na kutafakari hoja zote mbili. You know, you can do it too, now that we have those hojas here at JF.


hapana.. nimeuliza alijuaje kuwa Zitto kadanganya? usikurupuke kujibu.. think a little bit kabla hujatoa jibu lako. Wakati mwingine huwa unafikiri..
 
Wote naomba kuwauliza.. Mudhihir alijuaje kuwa Zitto alisema Uongo kuhusu Karamagi?
Kwani Mudhihir siyo mbunge? pengine alikuwepo bungeni tarehe 16/07/2007 au hata kama hakuwepo pengine alisoma katika hansard ya tarehe 16/07/2007 Zitto alipomshambulia Karamagi kwa KUmuita ni Muongo na kwa kulieleza Bunge kwamba Karamagi amevunja Sheria kwa kusaini mkataba ule, ilhali imekuja kudhihiri kumbe karamgi hajakosea wala nini.
Mwanakijiji soma hansard ya TAREHE 16/07/2007 uone ZItto alivyomshambulia karamagi bungeni kwa kumuita muongo
 
Lakini kwenye hoja ya Ka-damage Versus Ki-Zito naona kuna kitu ambacho tunatakiwa tukae na tutafakari vizuri especially ktk kuchanganya hiyo Sheria ya Madini ya Sheria 1998 na Kodi ya 1973 as ammended.
Kwamba ni kipi kilicho juu ya kingine inapotokea mgongano kama huu.
Sasa hapa watu tukituliza akili zetu na kutafakari vizuri unaweza ukakuta Ka-damage kawachanganya wenzake dakika za lala salama, na kutokana na majuzu wengi ktk Bunge na Msimamo wa Chama issue ikawa imeamuliwa ilivyo amuliwa.
Halafu kuna key issues za kisheria, kwa mfano inapo tokea migogoro ktk mikataba, je ni Sheria za Wapi zitatumika ktk arbitration, za Uingereza kuliko sainiwa mkataba au za Bongo au zakimataifa. Sasa Ka-damage akitueleza, kama kusaini uingereza au Dar au kokote hakuta kuwa na efffect, kwa sababu incase of dispute wamekubaliana sheria zitakazo tumika.
Ndio hapa ina kuja Hoja za Kina Mkono ktk kuwa waangalifu ktk ku-saini mikataba kama hii.
Halafu hiyo haraka ya kusaini ilitokana na nini? kwamba muwekezaji alikuwa anakimbia na sisi tuna muhitaji au? au hayo madini yataoza?
last but not the least ikiwa sisi tu-dance according to the tune of investor, then interest za nchi zina lindwa vipi, maana kila kukicha tuna badili sheria iwe ya kodi au ya investment au ya madini. Kuna kiswahili kirahisi kina sema kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza, sasa sijui taifa la tanzania tumefikia hatua hiyo ya kujitembeza badala ya kufuatwa. Basi ujue tuna tatizo hapo, labda tu wagumba/tasa
 
Hahaha! This sums it all. Indeed, na kwasababu majority hapa JF ni CHADEMA, basi concensus ni kwamba Zitto kaonewa. Case closed!

Una close case kama nani? Unadhani hii ni ile case yako ya wizi wa mitihani?

Hakuna kigogo hapa wa kukusaidia.... the case is open until liamba baby....teh teh teh teh teh teh
 
Kuna mwenye Finance Act No 14 ya 2001 aniwekee hapa? Nimejaribu kutafuta kwenye website ya Bunge lakini haifunguki, nilitaka kucheki facts kati ya Karamagi na Zitto. Niko concerned na accuracy ya jibu la Karamagi kuwa marekebisho yaliyofanywa kwa kufuta definitions za "additional capital allowance” and "qualifying capital expenditure" kwenye kifungu 16B zilikuwa na maana ya kuondoa kifungu 18 (1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 1973 linaloweka masharti ya kipengele cha nyongeza ya asilimia 15% kwenye mtaji wa uwekezaji ambao haujarejeshwa. Nashindwa kuamani kuwa kifungu kinaondolewa kwa kufuta definitions hizo tu, inawezekana definitions za zamani zilifutwa ili maneno haya yawe redefined.

Alinukuu hivi:

"16B. Paragraph 16 of the second schedule to the
Principal Act is amended.

(a) by deleting the definitions of the words “additional capital allowance” and qualifying capital expenditure” which appear in sub-paragraph (1) of paragraph 16.

(b) By deleting the definitions of word “expenditure” and substitution for it the following definition.



Ninavyoona hii ammendment inahusu kifungu 16(1) siyo kifungu 18(1).
 
Kwani Mudhihir siyo mbunge? pengine alikuwepo bungeni tarehe 16/07/2007 au hata kama hakuwepo pengine alisoma katika hansard ya tarehe 16/07/2007 Zitto alipomshambulia Karamagi kwa KUmuita ni Muongo na kwa kulieleza Bunge kwamba Karamagi amevunja Sheria kwa kusaini mkataba ule, ilhali imekuja kudhihiri kumbe karamgi hajakosea wala nini.
Mwanakijiji soma hansard ya TAREHE 16/07/2007 uone ZItto alivyomshambulia karamagi bungeni kwa kumuita muongo

now that is a good start.. and I hope you can sustain it.. umesema kuwa "imekuja kudhihiri kumbe karamagi hajakosea wala nini". Swali langu, unajua kuwa Karamagi hajakosea? Kwa sababu hii inanikumbusha majibu ya Waziri Mkuu kwangu, kuwa kwa vile wamejibu basi "hawajakosea"..
 
Ingekuwa nchi nyingine wananchi wangeshaingia barabarani kupinga tukio hili....lakini watanzania tunaishia tu kulalama vichochoroni, baada ya wiki moja au mbilitunasahau.Inawezekanaje watu milioni 30 na ushee tutapangiwe hoja za kishenzi na PM wasiozidi 300.Acha CCM wafanye wanavyotaka kwa sababu wanajua watanzania bado wamelala usingizi mzito.
 
Kichunguu,

Ndio nilitaka kuona mtu mmoja akichambua hoja namna hiyo. Naomba muda nivipitie, bahati nzuri mimi ni mtaalamu wa mambo kama hayo.

August, Sheria ya Kodi ina supersed nyingine. ndo maana kule mwishoni wanaoanisha kila kitu. Kwahiyo kama Karamagi alitumia hiyo sheria na aka i quote vizuri basi alimshinda Zitto. Mimi nazungumzia sheria sio zitto kufungiwa. Hayo ya kufungiwa inabidi tuyatizame kwa kanuni ya bunge inasemaje.

Machache tu, nikipata muda nitachambua kiasi.

FD
 
Kuna mwenye Finance Act No 14 ya 2001 aniwekee hapa? Nimejaribu kutafuta kwenye website ya Bunge lakini haifunguki, nilitaka kucheki facts kati ya Karamagi na Zitto.

Nafikiri unazungumzia sheria ya Fedha ya 2004. Kama ni hiyo nimekuambatanishia hapa.
 
Back
Top Bottom