The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Wandugu, wakati mimi natazama pande zote, ningeomba muanze kuchambua hoja kwa hoja kisha utoe conclusion yako.

Haya ya kuamua juu juu bila kuchambua hoja zenyewe hatukubaliani nazo.

FD
 
Kichuguu, hujui kwamba CHADEMA ni NGO? Kwahiyo, usishangazwe na NGO nyenzake kujitokeza kumpokea shujaa...anayepokewa kwa kutimiza wajibu wake wa kuipinga Serikali. Wabongo kweli tumelemaa...yaaani tunafanya maandamano kisa Mbunge wa Upinzani kaleta hoja Bungeni ya kuipinga Serikali. What did we expect him to do?

Na wewe nawe kwa kutwist mambo.. hivi unajua Zitto amefungiwa Ubunge kwa "kutimiza wajibu wake wa kuipinga serikali"?
 
Fikiraduni,

Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy Mpakanjia utaona wanajitumbukiza enthusiastically. Kwahiyo, pole mkubwa.

Mugongo Mugongo

That is a direct insult to other forum members...Please take it back.
 
Nimeshagundua, hawana hoja, kweli Kitila namkubali ingawa sio Chadema mimi.
FD

Anakuwa tishio kwa Mbowe na soon wataanza kumfanyia fitna kama walivyomtoa Shaibu Akwilombe na Amani Walid Kaburu.

No wonder kuna siku hapa JF mtu mmoja alipo-suggest kuwa yeye ndio awe kiongozi wa CHADEMA huyu bwana aliomba kauli ifutwe mara moja kwasababu anajua madhara yake. Kwikwikwi!
 
Yale yale mambo ya umbea..... usijikombe kwa Kitila, CHADEMA haiitaji lazy groupie kama wewe unayeiba mitihani na kudai kuwa maadui zako ndio wamekuwekea kwenye mikoba yako ya shule
 
Fikiraduni,

Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy Mpakanjia utaona wanajitumbukiza enthusiastically. Kwahiyo, pole mkubwa.

Ngoja tusibiri a pageant ya mapokezi. Interesting precedent tunaiweka. Na watu wanasahau hapa kwamba Bunge, hili hili la CCM, lilimsimamisha Idi Simba at one point. Na bado akaingia Dar kwa mapokezi.

you are up for a treat buddy!
 
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!

What else haven't I heard?
 
I mean people in 'ushindani.'

Kabwe has started the ball rolling; it is up to them to pick it up and run to the goal. What exposure do they need to get noticed by the people?

I say, if you cannot capitalize on this; then you've no business being in politics.
 
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!

What else haven't I heard?
 
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!

What else haven't I heard?

Not everyone is CHADEMA here.... Ulitegemea kukutana na CHADEMA iliyojaa wastaarabu ndio maana ukaanza kuita watu names kama:

Groupie, Concubine, vilaza, wanaingia kwenye wrong date of the month, etc.

Wana CHADEMA kina Zito, Kitila, Mkandara na wengine wengi wastaarabu hawakujibu kitu....

Mimi nimerudisha the same ball (now with fire) back to you coz in politics that how the game is played sasa umeanza kulia victim like a baby..

Ukipenda kujinyonga (lilia wakubwa wakusaidie kama kawaida yako) its up to you.

Zito atapata mapokezi ya nguvu bongo na JF itaendelea kuwepo hapa kwa sababu alot of pple here wana history na forums hizi na sio wewe mwizi wa mitihani

Bring it baby..... the game is still on
 
Akinukuliwa na Hansard ya tarehe 16/07/2007, Mheshimiwa Kabwe Zitto alisema nanukuu “ kutokana na majibu ya Mheshimiwa Waziri kuhusiana na Mkataba mpya wa Mgodi Buzwagi ambao Mheshimiwa Waziri ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi, amedanganya na ameeleza vitu ambavyo kwa kweli sivyo ambavyo vipo katika Mkataba ambao ameusaini” mwisho wa kunukuu.

Sasa kama mheshimiwa ZITTO alimuita Karamagi muongo,lakini Zitto akashindwa kuprove kuwa KAramagi kweli ni Muongo hapo ni nani Muongo? Zitto au Karamagi? nani kalidanganya Bunge hapo?

Kama Zitto ametoa maelezo katika Bunge ambapo ikaja kudhihirika kwamba kumbe Zitto anachanganya mambo,sasa ni nani atakuwa ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi? Zitto au Karamagi? ni nani muongo hapo?

Na kama sasa imedhihiri kuwa Zitto ndiye muongo na si karamagi,kwa nini ZITTO ASICHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU ZA KULIDANGANYA BUNGE?
 
Back
Top Bottom