The Boss: "King Of MMU - 2011"

Hahahahahaha ile ya "I think I love you". . . ?! Ngoja kwenye sherehe za kunirudisha kundini ntakuja na "Ahhhh. . .It was just a crush!!" . . .lolzzz

Sema kurudi bado bado bana. . .Hapa nimebeep. . Kupiga bado muda kidogo.

.....hahaha....HAKUNAGA bana....aliyepata kafwaudu namuonea gere! ....nakusubiria ujue,
Usianze jitetea " ohh, woz just a crush" hapa...
 
Nimekataliwa Rufaa yangu na JF, naelekea Mahakamni na mawakili wangu Riz1 and Lau Masha, The Boss tutakutana Mahakani, haiwezekani uliwahonga Supermana na Invisible Suti na chupi, Ushahidi ninao.
 
Hahahah. . .Lawyer unataka wale walioniahidi vigari na vinyumba wa-Cancel offer? Embu tulia bana!!
Hivi kumbe mpaka wake za wachungaji hawajambo kwa next door?.....
Hizi ni hujuma za wazi dhidi ya mtumishi wa mungu.
 
sasa ww Boss kama King wa MMU! na mimi je? nitakuwa nani?

Anyway, hongera zako, nimekukubali kitambo sana.

50 thousands ni ndogo sana, Boss tuwasiliane na mimi nikupe burungutu langu..
 
The boss uko juu aisee, hongera sanasana, japo sikuwepo, ningekuwepo ningepiga kampeni la kufa mtu, u deserve it
 
Back
Top Bottom