TGIF: snow day!

Na huo uzee wake sijui hata kama ataweza.....

Nilishaga mshauri ahame ila mbishi mno. Na ile wheelchair yake ikikwama kwenye snow sijui atafanyaje.....

Hahahaaha you never know labda ana dogodogo huko ndiyo maana bado yupo yupo kidogo.
 
Heheheheheeeee.....na nimjuavyo wala sitashangaa. Usikute yule M-Lebanon au sijui M-Palestina.....hehehehe love is blind kwa kweli
 
Na huo uzee wake sijui hata kama ataweza.....

Nilishaga mshauri ahame ila mbishi mno. Na ile wheelchair yake ikikwama kwenye snow sijui atafanyaje.....

Ha ha haa usije ukakuta ile wheelchair in 4-wheel. It's amazing huyu mzee anavyojua kucheza na kibaiskeli chake. Bado nakumbuka jinsi alivyo-spin 360 kwenye dancing floor pale Columbus....tena kwa kutumia tairi moja tu.
 
snowday.jpg

the problem is where to start!!! na hawa wazungu hata kutupa hint kwamba wataturuhusu tutimke... angalau Bongo unaweza kufanya shughuli zako halafu ukarudi kazini.. na bosi ukakuta naye hajarudi!

sasa sijui which is better.. mafuriko ya barabara za jiji la Dar mvua ikinyesha au theluji inapoanguka katikati ya wiki!
 
LOL!...That was classic,ningetamani kumuona ila i was too busy columbus hadi sikumuona mzee mwanakijiji alivyokuwa ana spin wheel duuh!...
 
snowday.jpg

the problem is where to start!!! na hawa wazungu hata kutupa hint kwamba wataturuhusu tutimke... angalau Bongo unaweza kufanya shughuli zako halafu ukarudi kazini.. na bosi ukakuta naye hajarudi!

sasa sijui which is better.. mafuriko ya barabara za jiji la Dar mvua ikinyesha au theluji inapoanguka katikati ya wiki!

I think snow yenu ni cha mtoto maana sisi huku ni terrible imeshuka na ice kabisa alafu ndiyo imekuja ishia huko kwenu...
 
Heheheheheeeee.....na nimjuavyo wala sitashangaa. Usikute yule M-Lebanon au sijui M-Palestina.....hehehehe love is blind kwa kweli

Inawezekana maana kuna this one time nilimcheck cuzin wangu bwana akapokea sijui ni mid eastern yule aah ilikuwa hatari manake.
 
snowday.jpg

the problem is where to start!!! na hawa wazungu hata kutupa hint kwamba wataturuhusu tutimke... angalau Bongo unaweza kufanya shughuli zako halafu ukarudi kazini.. na bosi ukakuta naye hajarudi!

sasa sijui which is better.. mafuriko ya barabara za jiji la Dar mvua ikinyesha au theluji inapoanguka katikati ya wiki!

Gotdamn!! heeee hivi mnaishi ishije huko?
 
Kwani na nyie mnaishije ishije na joto wakati wa Summer? over 100 degrees?

Shimmy shimmy coco whaaat....now you......malizia mwenyewe...

Mambo ya Freaknik tu....damn I miss Freaknik....uuuuuwiiiiiii.....that was the $hit way back when
 
mkianza kuturingia na snow nsituchukie tunapopandwa na jazba kwa kuwaita watoto wa mafisadi.................

kalie hoja sio maringo............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom