Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na "3 unene. Wanasambaza vikaratasi vya matangazo ya dawa hizo kwa wingi na watu wanaitikia wito kwa kununua dawa hizo kwa kuwa kuna watu wenye matatizo hayo kwa wingi siku hizi. Je tfda au kitengo cha dawa asilia muhimbili wanalijua hilo na je wanachukua hatua gani??? Tulikwishaona madhara ya madawa ya aina hiyo kwa baadhi ya watu haswa kwa naniii zao kuwa oversize...wadau tfda wako wapi