Wadau mwaonaje hili. Kutokana na tatizo la ajira basi ukiitwa kwenye interview unakuwa na matumaini mapya. Hivi juzi tuliitwa kwa interview tfda. Tuliitwa watu wengi sana kwa level ya laboratory technician. We were from SUA,DIT degree pamoja na UDSM engineers walikuwepo. Tulikuwepo watu makini wenye experience in laboratory ni kwamba tu hatujabahatika kuajiriwa na serikali bado lakini kati yetu alikuja dogo mmoja yeye amemaliza SUA mwaka huu na alikuwa ana mtihani wa supplimentary the same day basi sisi tulimshauri dogo aende akapige paper kwanza aachane na mambo ya kazi. Dogo hakujibu bali alitabasamu. dogo aliitwa wa kwanza alipiga interview. Kilichonistua yeye ndo amepata kazi jamani cna hamu na tfda. cku zingine msitusumbue kama mna watu wenu kuna watu tulitoka mikoani tumetumia gharama na hapa mjini hatuna ndugu kweli mnatufanyia hivi...