Tetesi za usaili wa vijana kujitolea JKT ngazi ya wilaya

Kingo Janta

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
316
247
wadau kuna tetesi za mtaani zinasema eti usaili wa vijana kujitolea JKT umeanza ngazi ya wilaya.. kwa anaejua taarifa hizi kwa undani atujuze
 
Ni uzushi!!! Usaili utaanzaje wakati hata tangazo la hizo nafasi halijatoka??
 
Zmetoka na wengne 2mechaguliwa .2nawait kuitwa ngazi ya wilaya. So kama kuna m2 anafununu usaili wa Wilaya unakuaje a2juze. Ili 2simbwire. We unasema wengne wameandamana kixa ajira .c 2fate nin. C twafata uzalendo..
 
Kwani mlianza katika ngazi gani?usaili ulianzia mikoani ndio unashuka wilayani au umeanzia wilayan unaenda ngaz ya mkoa? Bado sijaelewa mnavyosema usaili sasa upo wilayani inamaana ulianzia vijijini?hebu tufungueni mlioomba hizo nafasi tafadhali
 
Zmetoka na wengne 2mechaguliwa .2nawait kuitwa ngazi ya wilaya. So kama kuna m2 anafununu usaili wa Wilaya unakuaje a2juze. Ili 2simbwire. We unasema wengne wameandamana kixa ajira .c 2fate nin. C twafata uzalendo..

Mzalendo usiojua uandishi sahihi wa lugha yako.
 
Back
Top Bottom