Tetesi: Nchimbi, Kimbisa, Saning'o, Ol na wabunge kadhaa kwenda Chadema

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,859
16,757
Hizi ni tetesi zimezagaa kweli... tunasubiria kujua undani wake...

Nchimbi, Kimbisa, Saning'o, Goodluck Ole Medeye, na wabunge wengine kadhaa wako ktk maongezi ya kwenda Chadema..

Hizi ni tetesi, tusubirie tuone
 
Waje tuunde upinzani wa kweli lakini angalizo: Chonde CDM Msipokee wale Dr. Slaa aliwataja katika ile list of Shame, tutakiangamiza chama. Madongo tuliyokuwa tunaipiga CCM yataturudia
 
hayo makapi ya nini kwani hakuna watu upinzani wenye uwezo.. waje chadema wawe wanachama wakawaida..wasituvurugie mipango kuna watu waimarisha sana upinzani .
 
Hizi ni tetesi zimezagaa kweli... tunasubiria kujua undani wake...

Nchimbi, Kimbisa, Saning'o, Goodluck Ole Medeye, na wabunge wengine kadhaa wako ktk maongezi ya kwenda Chadema..

Hizi ni tetesi, tusubirie tuone
Waganga njaa wote hao, they've never been prime movers,
Hao si madereva wa kisiasa , ni abiria tu!
 
hayo makapi ya nini kwani hakuna watu upinzani wenye uwezo.. waje chadema wawe wanachama wakawaida..wasituvurugie mipango kuna watu waimarisha sana upinzani .

wapokeeni kwa mda,watarudi ccm wiki moja kabla ya uchaguzi...
 
Wamejua kwamba watatoswa na mkwere na nape basi wanatimkia chadema. Sizitaki hizi mbichi

Kama ni kweli wanatoka, utakuja kuyafuta maneno yako chukulia mzaha kwa sasa ila yanaathir kabsa chama kwa upande mmoja au mwingne
 
hayo makapi ya nini kwani hakuna watu upinzani wenye uwezo.. waje chadema wawe wanachama wakawaida..wasituvurugie mipango kuna watu waimarisha sana upinzani .

Hamna watu huko siku zote huokoteza makapi kutoka Ccm. Huwa mnawatukana eeee baadaye unampokea na kumpa heshima
 
Back
Top Bottom