Tetesi: Mzigo wa noti mpya ulipigwa juu kwa juu airport

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Kuna tetesi kwamba mzigo wa noti mpya ulipowasili tu airport wajanja wachache serikalini walichukua pesa nyingi na chache ndo zilipelekwa BOT kwa ajili ya kuingia kwenye mzunguko, ndo maana hadi sasa Bank hawana hazina ya kutosha ya noti mpya wanaendelea kutoa noti za zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom