Tetesi: Hatima ya kigogo wa polisi dar mikononi mwa kitwanga

Intelijensia yao inaona vyama vya upinzani tu, lakini makontena yanahamishwa na haioni! Intelijensia ya ajabu hii!!
Hata wakati ule yale mabilioni ya Escrow yanasokomezwa kwenye viroba na masandarusi pale Stanbic na baadaye kupakiwa kwenye malori, intelejensia ya huyo jamaa macho 'kumchuzi' ilikuwa imeenda likizo?
Ila yanapotokea maandamano yoyote ya vyama vya upinzani ndipo intelejensia ya huyo afande inanusa haraka sana!
Huyo afande ni miongoni nwa majipu hatari sana nchini mwetu, kwa hiyo linapaswa kutumbuliwa haraka sana.
 
Tena tumamshukuru Waziri Kitwanga kwa kupasua jipu la makamanda ka Kova.
Kuna wabambikaji kesi wengi jiji hawa askari.
Mkuu wa kituo cha Wazo miaka michache iliyopita alikamatwa live akijaribu kumbambika askari mstaafu jeshi.
Bahati yake mbaya sana kumbe kuna kijana wa usalama pembeni akiona picha nzima.

Majirani walimshukuru sana yule kijana kwa kuwasambaratisha.
Lakini mwishowe baada ya kufikishwa kwa Kanda Maalum huyo mkuu wa kituo alihamishwa fasta kwenda Manyara hatimaye kanda ya Ziwa.
Mbaya zaidi wananchi wana jua mambo yanayoendelea.
yupo Mara anaendeleza
 
Kova hana kosa kosa ni sisi kuchagua ccm miaka yote,haya yote yamekuja baada ya watu kutaka mabadiliko
 
Wakati mwingine huwa najiuliza hiv jk alikuwa na lengo gani na nchi hii!!! Kwa team yake hii ya uongozi.

Sjui alitaka atuuze???
Au alitaka kututoa mkopo???
Sjui alitaka kulipa fadhira kwa kila swahiba???
Au alikuwa anahonga???
Sjui ni upole ulipitiliza???
Au alikuwa mwoga???
Sjui alikuwa haoni???
Au aliamua kupuuza???

Huyu babu kayla yeye hakustahili hata kuendelea kuwa mtumishi kwa umri wake.
 
Kova huyo... sbb jamaa ni mwanasiasa tu.. sio mtendaji wa polisi mzuri...
 
Tukumbuke Gwajima alipomuumbua kwa kusema mkenya aliyemkamata hausiki na kumtesa dk Ulimboka.
Jerry Muro alipopata yale matatizo ya kudaiwa kuomba rushwa alisema Kova sio polisi.
 
Mambo ya msingi hawafanyi, kazi ya intelijensia yao ni kuzuia maandamano tu.
 
Back
Top Bottom