Tena naongea kwa namba kubwa, Al Hilal atatolewa na Yanga pale kwao Khartoum

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Hili naomba niliweke sawa,
Mashabiki wa Yanga najua tayari mmeshakata tamaa lakini nataka kusema na ninyi hivi;

Young Africans msimu huu ni lazima afike mbali kwenye michuano ya kimataifa, na Al Hilal hatamtoa Yanga pale nyumbani kwao.

Najua wengi wanaona ni vigumu Yanga kumtoa Al Hilal kwao lakini rafiki yangu wakati huu Mungu wangu hatawaangusha Yanga, akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana.

Najua ni vigumu kwa watu kunielewa lakini namaanisha ninachosema,
Young Africans haitakwenda chini. Amini ninacho wambia na tutaona kitakachowakuta Al Hilal nyumbani, wao wenyewe hawato amini macho yao.

Watafanya figusu nyingi kutafuta matokeo lakini huu ni mwaka wao kwanza kucheza shirikisho.

Namaliza tukutane tariki 17.

Basi, usiogope, mimi nipo pamoja nawe. Usifadhaike, mimi ni Mungu wako. Nitakuimarisha na kukusaidia; nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi.
 
0.5 UTOPOLO FM
0.5 POINTS.jpg
 
Young Africans msimu huu ni lazima afike mbali kwenye michuano ya kimataifa, na Al Hilal hatamtoa Yanga pale nyumbani kwao.
Namaliza tukutane tariki 17.
Pole, naona hata maandishi yanakukataa
 
Lala ukiamka utakua umeimaliza ndogo hii
 
Ligi yetu ni dhaifu na imetoa bingwa dhaifu
 
Hizi ni wishes tu kama wishes za kusubiria tarehe lazima kichwa kiwe bize.

Back
Top Bottom