Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Afu we Fixed Point hebu walete wakwe zangu huku niwafundishe jinsi ya kuuishi uanaume na bia. Wasije wakashindwa kuwafikisha kileleni mabinti zangu.
Last edited by a moderator:
Hivi mnajua leo ni Jumangapi?
Mimi nimesoma English figure mwaka mzima najiamini.
I heard you failed bwana! Faildn't you?
Mkwe Asprin unawasikia wakwe wa kingoni? kushindwa hiyo kazi ni ngumu sana............ ugimbi mpaka uishe na kazi hiyo ni 100%. kule kwetu hakuna mabango ya mganga wa kuongeza nguvu za ........., wapo kwenye mchakato wa kutafuta dawa za kupunguza, ha haaaaaaaaaaaaAfu we Fixed Point hebu walete wakwe zangu huku niwafundishe jinsi ya kuuishi uanaume na bia. Wasije wakashindwa kuwafikisha kileleni mabinti zangu.