TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

Kwani lile ni swala la kijeshi au kipolisi?

Kama ni la kijeshi wanajeshi watahusika!

Kama ni la kipolisi polisi watahusika!

Kama ni TISS nao watahusika!

Unaposema polisi haiaminiki na jamii unaongelea jamii ya wanasiasa walaghai na wasaka kiki wa chadema?
 
Kwa mamlaka zinazo heshimiana swala litabakia kwa mamlaka husika tu
 
Kwani lile ni swala la kijeshi au kipolisi?

Kama ni la kijeshi wanajeshi watahusika!

Kama ni la kipolisi polisi watahusika!

Kama ni TISS nao watahusika!

Unaposema polisi haiaminiki na jamii unaongelea jamii ya wanasiasa walaghai na wasaka kiki wa chadema?
Je amefanya research ya kuona level ya satisfaction ya wananchi kwa Huduma wazipatazo kwa Polisi?!
 
operation ya laana ya Bashite haijawahi kufanikiwa!sasa mmdanganye mpumbavu hiyo move bure kabisa mnadhan mtawapotezea watu ili magu msahaulishe habar za LISSU polen labda wa milembe!Hatakufa bali atasimulia ukuu wa wa matendo ya mungu nae atakuwa mussa wa kulivusha taifa hili lenye wenye laana wa awamu ya5!
 
Picha za magufuli ni ngu sana ! Na policcm waliuwawa kibiti hakwenda hata kuwaaga,leo kwa jenerali kavaa mpaka gauni la hospitali si uzandiki wa sinema za yombayomba ni nini ? Hakuna jenerali aliyepigwa risasi anaua soo ya Lisu tu mnafiki wa kiwango cha tope tu huyo.majenerali wana ulinzi Masaa 24,kapigiwa geitini !!! Hao walinzi wanamlinda make wa jenerali chumbani ! Pelekeni ujinga wenu huko,chama cha wasiojulikana nyie.nani mjinga kiasi hicho wakudanganya kama kavaa kijani na njano,anakaa Lumumba ?dhalimu wakubwa wa roho za wapinzani nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
da we jamaa kichwa sana haihitaji PHD kutambua mchana na usku hata mbwa anajua mbona ni ulofa wa cinema ya kipumbavu hivi!shubamitiiiiii!
 
Halafu mkiitwa kwa DCI mnaanza kuanguka kifafa na kukimbizwa hospitali.
Pathetic swine!
Sasa DCI ananiita kwanini Cheo cha Meja General ndio cheo cha mwisho jeshini na mzee huyo mpaka amepata hicho cheo anazijua kwelu silaha lakini ndio mara yake ya kwanza zimekuja upande wake sasa hivi akielezea anaelezea sio kinadharia tena
 
9fb7cf101947a0f53119c2d7fab6e947--julius-nyerere-tanzania.jpg
 
Jatibio la mauaji kwa M. General halina uhusiano wala haliwezi kujustify chochote kuhusiana na Mashambulizi ya Lissu. Kifupi umeonyesha very weak argument mkuu
 
Magufuli hajawahi kuhusika kwenye mambo kama hayo kuna vitu vingine ukivifikiria tu unajua ukweli mimi huwezi kunishawishi hata kwa dawa kama Magufuli alihusika, sema vyombo vyote vya serikali lakini Magufuli ni innocent kabisa katika hili hata Mungu anajua.
 
Hata Mungu anajua?

Wewe isikilize kwa makini ile clip aliyotoa recently pale Jumba Jeupe.......

Hapo utajua waziwazi kuwa hakuna mtu mwingine zaidi ya Baba Jesca kuwa the main suspect wa kadhia nzima iliyompata Tundu Lissu!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi zilizotolewa kwenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa wakati akiingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam...

My Take..Haya matukio ndiyo yanadhihirisha kuwa serikali haihusiki hata kidogo kwa maana sasa yanatokea pande zote ..Tuiombee nchi yetu dhidi ya watu wasiojulikana wenye lengo la kumdhoofiisha rais wetu ndugu John Pombe Joseph Magufuli anayepambana na hii vita ya Uchumi..Ama hakika TutashindaView attachment 587357
Mipango mpange wenyewe. Na mjitekenye wenyewe. Mtu kapigwa risasi, akapelekwa hospital madaktari wanamtoa risasi na kumsubiri Magugu aje aonyeshwe risasi tena wanazichezea bila gloves. Hapo evidence itapatikana vipi au Polisi walishajua ni silaha gani iliyotumika wakamwachia dk ili magugu akija aonyeshwe. Kwàni lazima aonyeshwe risasi ndio tutajua kiwa jamaa kapigwa. Huyo hajapigwa kalazwa hapo maksudi ili aue soo ya lisu. Hatudanganyiki bwana magugu wewe na Bashite ni wauwaji wakubwa
 
Magufuli hajawahi kuhusika kwenye mambo kama hayo kuna vitu vingine ukivifikiria tu unajua ukweli mimi huwezi kunishawishi hata kwa dawa kama Magufuli alihusika, sema vyombo vyote vya serikali lakini Magufuli ni innocent kabisa katika hili hata Mungu anajua.
Unajisumbua kumtetea mtu usiye mjua kwa kina yawezekana kabisa tena si yawezena ila nidhahiri humjui vyema basi funga safari uje chattle upewe habari.acheni kujipendekeza.
 
Mipango mpange wenyewe. Na mjitekenye wenyewe. Mtu kapigwa risasi, akapelekwa hospital madaktari wanamtoa risasi na kumsubiri Magugu aje aonyeshwe risasi tena wanazichezea bila gloves. Hapo evidence itapatikana vipi au Polisi walishajua ni silaha gani iliyotumika wakamwachia dk ili magugu akija aonyeshwe. Kwàni lazima aonyeshwe risasi ndio tutajua kiwa jamaa kapigwa. Huyo hajapigwa kalazwa hapo maksudi ili aue soo ya lisu. Hatudanganyiki bwana magugu wewe na Bashite ni wauwaji wakubwa

kuwa na MAONI kama yako, yataka moyo.
mimi naona kunahaja yakuwa na mlengo wa panga la shaba kwawatu wenye mawazo kama yako, shame upon you
 
kuwa na MAONI kama yako, yataka moyo.
mimi naona kunahaja yakuwa na mlengo wa panga la shaba kwawatu wenye mawazo kama yako, shame upon you
Wewe ulitaka awazeje? Kama wewe, ninyi au wale? Wazo lake limekukaaje? Hatuwezi kufanana kwenye mtizamo japo picha ni moja! Si unajua uzuri au ubaya wa kitu upo machoni mwako! Hata mawazo yapo kichwani mwako!
 
Back
Top Bottom