Technology 4 Africa Co. Ltd

Jun 9, 2012
8
0
Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing, hardware & software sales, distribution and services, Consultancy and Training e.t.c

Kwa maelezezo zaidi ya huduma zetu wasiliana na;

Mr. Gideon P. Mazara/ MSC Engineer
Ubungo Bus Terminal,
Utawala Building 1st Floor,
P.O Box 22700,
Dar es salaam, Tanzania.

Phone; +255 714 03 03 07.
 
kwa moshi na Arusha inategemea ni service zipi zitakuwa zinahitajika ila kwa kawaida huwa anatumwa mtu ambaye anahusika na service inayotakiwa...eg, kama ni networking, maintenance n.k na pia haijalishi kama inakuwa ni kwa mtu binafsi au kampuni.
 
dah.... umenikumbusha maswi mazara enzi za musoma tech. maziwa bado yapo ile yogat ya dingi yako. pamoja mkuu nami pia niko ktk field yako hiyo
 
thanx kaka...karibu sana ,,,,,,,i hope siku moja tutaonana mkuu, production ya maziwa ilisimama kwa mda ila soon itaendelea kama kawaida mkuu.
 
thanx kaka...karibu sana ,,,,,,,i hope siku moja tutaonana mkuu, production ya maziwa ilisimama kwa mda ila soon itaendelea kama kawaida mkuu.
kila la kheri mkuu hop tutapeana kazi pale itakapobidi, naamini nitakusukumia kazi za kutosha maana most sometym kazi zinatupita kutokana na kutingwa, i hav copied your number for further info. nitakusuprise kwa kazi. poa
 
website itakuwa online as soon as possible kwani ipo under construction hivyo once nikishaihost nitaiweka humu ili wadau muweze kuitembelea na kusoma services zetu in details.
 
Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing, hardware & software sales, distribution and services, Consultancy and Training e.t.c

Kwa maelezezo zaidi ya huduma zetu wasiliana na;

Mr. Gideon P. Mazara/ MSC Engineer
Ubungo Bus Terminal,
Utawala Building 1st Floor,
P.O Box 22700,
Dar es salaam, Tanzania.

Phone; +255 714 03 03 07.

mkuu naona umeamua kufanya marketing very seriously,nafikiri ukikamatia hapo hapo au ukikomaa na uamuzi wako wa kufanya hiyo kazi utapiga hatua,ila usikate tamaa manake wengi wamekata tamaa na kurudi nyuma,sala kwa mungu ni muhimu halafu usisahau kumtolea mungu sadaka,yaani kazi uliyo nayo ni kujenga kampuni iwe na wateja permanent,kila la heri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom