TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

Habari zote local nitazipata hapa JF. LiTBC lao siangalii na listartimes lao sinunui. Nitaendelea na DSTV au Azam au ZUKU.
 
Channel ndio zatakiwa lipa kwa hao operators
Channels zinaandaa vipindi, zinalipa waendesha vipindi, zinalipa several expenses.
Operators wanachukua Channels, wanazikusanya kwenye decorder zao na kuuza,
Decorders zao ndio products, na channels ndio contents within products
 
Mi nataka burudani kuliko stress,nakomaa na Dstv na Azam tu,hakuna cha kuangalia huko kwingine.
 
Nitabaki na dstv yangu kwanza sasa nacheki kombe LA dunia female football
 
Tutaangalia NTV, Ethiopian broadcasting channel, Citizen etc. Jiwe na genge lake hawawezi kutuforce na kutupangia tuangalie TBC
 
Waondoke na hizo channels zao tu...yaani nikanunue king'amuzi kingine kisa nataka kuangalia local channels....nitabaki na Azam tu...nikiangalia BBC nikaingia JF...kazi imeisha..
Yaani wameshindwa kusolve hili suala dogo tu..ili kuepusha usumbufu kwa wananchi...wataweza kuleta Tz ya viwanda kweli??
 
Serikali ni kama mzazi, kufanya maamuzi huku ukijua mtoto hana pakukimbilia ni hatari kwa ustawi wa afya ya kizazi hiki.
 
Hawa startime wezi tu juzi wamekula 12000 na sijui hatima yangu nasubiri mwezi uishe nione kama hizo local chanel zinaonekana! Km hazitaonekana shoka ipo tayari!!
 
Back
Top Bottom