mtuko2
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 434
- 41
vipi kaka huna habari tbc ipo kwnye dishi?tumia 12275h11200
good newz,...at least tcra wamejaribu kutoa maamuzi magumu na mazuri i.e for public interest.
mbona hawaliagizi bunge liruhusu vyombo vyote bya habari virushe matangazo ya bunge?
Hata kama hawana lo lote hao star time, pamoja na kero zao, hata hivyo Star TV hawana right ya kujiondoa kwenye king'amuzi ambacho ni haki yetu kuwaona. Juzi ilibidi nihamie kwenye king'amuzi cha DSTv kwa kuwa there was a programme nilikuwa naangalia Star TV kupitia hicho king'amuzi. Afadhali.
Star times , TCRA wote lao moja. TCRA huwa hawaangalii TV waone watu wanavyokatikakatika na star times???? kazi kutoa matamko tu quality kwao zero.