TCRA, mmeona alama za vidole ndo njia salama zaidi ya ulinzi au mmeamua tu?

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
776
1,121
#TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda?

TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line ya simu.. Nimejiuliza maswali mengi mno sijapata jibu sababu sioni sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo ukilinganisha na technology ya kisasa iliyopo.. Let's get down to details kwanini nawashangaa

1: Ukimiliki simu, TCRA wanajua line yako, simu yako, na IMEI ya simu yako..

2. Hata ukibadili line katika simu nyingine, ukawasha, still wanajua, unatumia simu gani, IMEI ipi, uko wapi at present position etc

3. Ukiamua, utumie mtandao kwa line yako, still TCRA wanajua IP address yako, uko wapi and a precise location.

4: Simu unazopiga, kuingia, sms, data usage, etc etc wanazo, hata utumie line mpya lakini haina jina still watapata details zote hizo..

5: Utaratibu wa sasa wa kusajili line mpya, unapigwa picha iliyo clear kabisa na ku upload ktk system, kisha kitambulisho ulichosajilia line kinapigwa picha na inaingizwa ktk system ya kampuni ya simu husika, na majibu yanarudi instantly, kuwa picha na kitambulisho vimekubalika, je picha ya passport size ya mmiliki wa line si zaidi ya finger print.

Swali rahisi kabisa, je alama ya vidole ndio security sign kubwa zaidi kuliko hizo correct digital details kama ni security mnahitaji? The answer is BIG NO definitely..

Je, alama ya vidole nchi nzima, let's say only 40% wenye line wamejiweza wakaenda, 60% hawajaweza, na mkawafungia tuseme, Serikali hawaoni watapoteza matrilioni ya shilingi kwa kuwapoteza hawa ambao hawajaenda kutoa alama ya vidole..?

Swali la mwisho na kubwa kabisa lenye kikwazo haswa, ukisema mwananchi aende na IDs za NIDA wengi hawana, IDs za Mpiga kura wengi hawana na wenye umri wa 18 and below hawana, ID za shule labda sekondari hapo wanazo ila akimaliza tu shule wanaacha so hizo hazifai, hili tu la IDs watapoteza wateja mamilioni, hii ina maana serikali itapoteza matrilioni ya shilingi kwa kupoteza wateja wengi mnooooo

Kama issue ni security, finger print sio realible these days, njia za kisasa za kidigitali nilizotaja hapo juu ndio very correct one and world wide are using..!!

Sijaelewa TCRA wamekaa na kujadili hasara kubwa itakayojitokeza sbb tu ya kutafuta finger prints za watu... Nimeshangaa sana. Siku hizi kumkamata mhalifu finger prints is nothing, just unatakiwa kujua line yake tu, basii.

TCRA, msaidieni mh Rais wetu, apate mapato ya kutosha, hizi ideas zenu za kuja kuleta hasara kubwa unreasonably acheni. TCRA tayari mna TTMS, inawapatia kila kitu at your finger tips. Ukianzisha project hasa kama hii ya finger print nchi nzima lazima ufikiri mara elfu na elfu, big question is, DOES IT REALLY WORTH THE INVESTMENT? You can rethink again, mtapoteza trillions kwa maamuzi yasiyo na umuhimu mkubwa..!! Ni ushauri tu .

TUACHE UKASUKU!!

Thanks

Toa maoni yako
 
Hii tabia ya mtu unakutana na maandishi sehemu unakimbilia kukopi na ku-paste hapa siyo nzuri. Hii thread iko hapa kitambo na tumeijadili sana. Wewe sijui umeikuta wapi unakimbilia ku-pste hapa kama umeandika wewe! Sifa nyingine bwana! Watanzania hatuwezi kuishi bila ujinga ujinga ambao sisi tunauita ujanja ujanja?
Thread yenyewe hii hapa halafu wewe unaleta ''ujanja'' wa ngedere...
 
Kwanini na wewe hukukopi ukaileta hapa ijadiliwe acha wivu mkuu
Haya mwingine huyu. Umeelewa nilichoandika? Nimesema hivi: Hii thread iko hapa kitambo! Sasa huoni ni ukichaa unaniambia tena nikopi niilete hapa? Niilete namna gani wakati tayari iko hapa na ishajadiliwa sana? Na pili unapokopi kitu inabidi u-acknoledge source! Huwezi kukopi ukafanya modification kidogo halafu ukaileta kama umeandika wewe! Huu ni wizi!
 
Ndiyo keshakopi sasa mkuu
Mwambie moderator ampige burn kama vp
Hizi ndiyo tunaita akili za stendi. Mtu anakuwa analumbana na facts. BTW hata maandishi yako yanaonyesha uwezo wako. Moderators hawapigi ''burn'' ila wanapiga ''ban''. Bora hata ungeandika kwa kiswa-english ''bani''!
 
Wasumbufu saana huo mda watu tunatafuta pesa hali ngumu tukaanze foleni ya vidolee
Wastage of time
 
Mtu alikaa kwenye dawati akaaamuaa tuuuu... Ni shida wallah
 
Nami nikajiuliza, kwa ndugu zetu walioko vijijini wao watafikiwaje na hii huduma? Wale ambao wana sugu mikononi kiasi cha kutosomeka alama za mikono yao, wao pia itakuwaje!!!!?
 
Haya mwingine huyu. Umeelewa nilichoandika? Nimesema hivi: Hii thread iko hapa kitambo! Sasa huoni ni ukichaa unaniambia tena nikopi niilete hapa? Niilete namna gani wakati tayari iko hapa na ishajadiliwa sana? Na pili unapokopi kitu inabidi u-acknoledge source! Huwezi kukopi ukafanya modification kidogo halafu ukaileta kama umeandika wewe! Huu ni wizi!
Mkuu unafura utadhani kaiba kwako.
Punguza jazba mbona issue ndogo hiyo? Ushauri wangu ukikukwaza kashitaki kwa Pilato.
 
aleesha
Mfumo wa dunia (secret agenda) ndiyo unaofanya kazi kukutaka uingie huko kwa finger print wala hao TCRA hawana jibu.

Hapa tunajadiri tu but wenye maamuzi kwa ajili yako (out of God) ndiyo wanaziamuru serikali zote duniani kufanya hivyo ili kufikia lengo.
 
Lumumba mkuu vijana hawa
Haya mwingine huyu. Umeelewa nilichoandika? Nimesema hivi: Hii thread iko hapa kitambo! Sasa huoni ni ukichaa unaniambia tena nikopi niilete hapa? Niilete namna gani wakati tayari iko hapa na ishajadiliwa sana? Na pili unapokopi kitu inabidi u-acknoledge source! Huwezi kukopi ukafanya modification kidogo halafu ukaileta kama umeandika wewe! Huu ni wizi!
 
Kwa walemavu wa viuongo vya mikono apo imekaa vip maana kama wanata finger print na ye hana wamejipangaje kwa hilo?
 
Back
Top Bottom